Njia za kupokea mzigo wako ulionunua kwenye mtandao(ebay,alibaba,amazon)

P

P.J

Member
Joined
Jan 30, 2014
Messages
57
Points
95
P

P.J

Member
Joined Jan 30, 2014
57 95
Nani atakuletea mtaani kwako?
Njia rahisi ni kutumia sanduku la posta kama huna unatumia hata la shule, kanisa, au la mtu yyte unafahamiana naye.
Mzigo ukifika posta wanakupigia simu unaenda kuchukua mzigo wako. Kama kuna kodi unalipia
Me nipo mwanza ila niliweka jina la mtaa na namba ya simu ..inakuwaje hapo msaada plzz
 
Attachments:

ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,381
Points
2,000
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,381 2,000
Me nipo mwanza ila niliweka jina la mtaa na namba ya simu ..inakuwaje hapo msaada plzz
Ukiweka hivi kule KIKUU.COM wanakuletea hadi mkoa ulipo. Ila kwa hao wengine nasubiria majibu.
 
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,565
Points
2,000
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,565 2,000
Hivi kodi ipoje kwa sasa na hii serikali yetu inayo discourage imports?
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,381
Points
2,000
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,381 2,000
Ikiwa umejaza physical address, mzigo utafika kwenye local post office ya wilaya/mkoa ulipo. Na utajulishwa kwa call/sms kwenda kuuchukua wewe mwenyewe.
Hapa umeeleweka boss. Shukrani
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,381
Points
2,000
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,381 2,000
Kumbe kikuu wako njema eee
Wako vizuri, tatizo ninkwamba wana bidhaa ndogondogo kama nguo, housewares, men,women accessories, small electronics etc. Simu na tvs kule ni kama hakuna.

Ona sample ya tracking yao hapo.... Kutokea china, Dar hadi Arusha
screenshot_20190501-103216-jpeg.1101527
 
P

P.J

Member
Joined
Jan 30, 2014
Messages
57
Points
95
P

P.J

Member
Joined Jan 30, 2014
57 95
Wako vizuri, tatizo ninkwamba wana bidhaa ndogondogo kama nguo, housewares, men,women accessories, small electronics etc. Simu na tvs kule ni kama hakuna.

Ona sample ya tracking yao hapo.... Kutokea china, Dar hadi ArushaView attachment 1101527
Hawa kweli wapo vizuri kwenye masuala ya usafirishaji, ko mzigo wako ukifika wanakupigia simu???
 
P

P.J

Member
Joined
Jan 30, 2014
Messages
57
Points
95
P

P.J

Member
Joined Jan 30, 2014
57 95
Ikiwa umejaza physical address, mzigo utafika kwenye local post office ya wilaya/mkoa ulipo. Na utajulishwa kwa call/sms kwenda kuuchukua wewe mwenyewe.
Ko niwe mvumilivu tu nisubiri kupokea simu/sms kutoka post office ??? Maana nimeanza kupatwa na wasiwasi hapa
 
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
2,381
Points
2,000
ymollel

ymollel

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
2,381 2,000
Hawa kweli wapo vizuri kwenye masuala ya usafirishaji, ko mzigo wako ukifika wanakupigia simu???
Wanakupigia simu unaenda kuupokea kwenye ofisi zao mkoani kwako
 
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,152
Points
2,000
Mr. Mobile

Mr. Mobile

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,152 2,000
Ko niwe mvumilivu tu nisubiri kupokea simu/sms kutoka post office ??? Maana nimeanza kupatwa na wasiwasi hapa
Fanya kutrack kama umefika au la.
 
Bossprota

Bossprota

Member
Joined
Jul 16, 2015
Messages
53
Points
95
Bossprota

Bossprota

Member
Joined Jul 16, 2015
53 95
Kwawaliombeya please tujuzane maeneo ambayo mawakala wapo au address wanazotumia MBEYA jiji
 
T

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
693
Points
500
T

the muter

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
693 500
Vitu vikubwa kiasi kama TV vinaagizwaje? Posta wanasafirisha?
 
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Messages
952
Points
500
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2013
952 500
Hivi wakuu huwa mnalipia tozo pale posta?
Maana wamama walikuwa wananikaba 2000k kila parcel hata kama ni meagiza sindano ya nusu Dollar.
Sasa wamepandisha Hadi 2500@ parcel haijalishi ni registered mail au yoyote wao wanakaba Tu eti ni agizo toka juu.
Je hili ni kwa posta zote au ndio nageuzwa fursa kiaina?
Mpombote , Mwl.RCT Mr. Mobile uyui kwetu[/USE
@Ymoller
 
P

P.J

Member
Joined
Jan 30, 2014
Messages
57
Points
95
P

P.J

Member
Joined Jan 30, 2014
57 95
kwa kweli Mimi sijalipa pesa yeyote ile pale posta ,labda inategemea na mazingira siwezi jua
Hivi wakuu huwa mnalipia tozo pale posta?
Maana wamama walikuwa wananikaba 2000k kila parcel hata kama ni meagiza sindano ya nusu Dollar.
Sasa wamepandisha Hadi 2500@ parcel haijalishi ni registered mail au yoyote wao wanakaba Tu eti ni agizo toka juu.
Je hili ni kwa posta zote au ndio nageuzwa fursa kiaina?
Mpombote , Mwl.RCT Mr. Mobile uyui kwetu[/USE
@Ymoller
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,475
Top