Njia ya kumuachisha mtoto kunyonya kidole

Njia ya kumuachisha mtoto kunyonya kidole

Wana JF,

Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu...sitamani afike umri mpaka anaanza shule awe ananyonya na pia nasikia vinaharibu dental formula hivyo nawezaje kumsaidia?
Funga bandage kidole anachonya wengine pia hutoboa kidogo kidole na sindano akinyonya anaumia anaacha.
Kuna dogo licha ya kumsema yeye amenyonya kidole hadiu anamaliza chuo na sahivi akiwa katika kazi zake anajisahau unakuta kidole mdomoni
 
Kuna jamaa alikuwa na age ya 20 hv na alikuwa ananyonya kidole gumba, sijui kwa sasa hv.

ukichekea mazoea, mazoea nayo yanacheka.
 
Mkuu huo sio ugonjwa muache ataacha tu.
 
Aisee nakuamsha ubadili mashuka🫢
Duh nimekosea mimi sikojoi madam ,naomba Moderator na mkuu wangu wa kazi ,kamanda la makamanda Active tafadhali rekebisheni hapo kwenye komenti kuwa nakojoa kitandani mwenzenu sikojoi kitandani

Nisaidieni bure ,mimi mwenzenu nina mchumba hapa jamvini ,nistiri mwanaume mwenzenu na pia natgemewa na jamii nisaidie nisidharirike na watu wengi jamaa zangu
 
Duh nimekosea mimi sikojoi madam ,naomba Moderator na mkuu wangu wa kazi ,kamanda la makamanda Active tafadhali rekebisheni hapo kwenye komenti kuwa nakojoa kitandani mwenzenu sikojoi kitandani
Ila mkwee sasa wakurekebishie wapi au ushapiga vitu vyako? Unakojoa wapi?🤣
Nisaidieni bure ,mimi mwenzenu nina mchumba hapa jamvini ,nistiri mwanaume mwenzenu na pia natgemewa na jamii nisaidie nisidharirike na watu wengi jamaa zangu
Mchumba anavumilia mengi aisee🤣 jamii haipo humu kuwa na amani tu
 
Wana JF,

Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu...sitamani afike umri mpaka anaanza shule awe ananyonya na pia nasikia vinaharibu dental formula hivyo nawezaje kumsaidia?
Mr Backtobasics, msikilize kwa makini na hiki nachokwambia ukitekeleze,

Kesho apeleke Mwanao hospitali ambayo anaweza kupima kipimo cha Damu kiitwacho FBP.

Kwa kuwa hii ni dalili ya upungufu wa Damu au upungufu wa madini ya chuma mwilini.

Kwa kuwa wewe sio Dokta basi jieleze kwa Daktari kuwa nimeshauriwa na marafiki wa JF.

Ktk kipimo hicho hata Wewe unaweza kutazama mambo yafuatayo

Wingi wa Damu Hb
Ukubwa wa seli hai nyekundu za Damu yaani MCV na wingi wa madini ya chuma ndani ya seli hai nyekundu yaani MCHC

Kifupi tazama

HB
MCV
MCHC

Mtoto wa mwenzio muone kama Mtoto wako
 
Back
Top Bottom