Wana JF,
Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu...
Sitamani afike umri mpaka anaanza shule awe ananyonya na pia nasikia vinaharibu dental formula hivyo nawezaje...
Jf doctor naomba ushauri, mimi na mke wangu tumepata mtoto ambaye kwa sasa umri wake ni miezi 2.
Mtoto huyu ana tatizo ambalo imekuwa ngumu kwetu kuelewa, ni kwamba akiwa ananyonya anatoa sauti kama vile kwikwi, hivyo bado ufahamu wetu kwenye tatizo hili hatuna.
Jf doctor naomba ushauri ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.