Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

Ndio njia rahisi, hata Marekani wengi wanaingia kwa visiting viza wanabadili status wakiwa Marekani na wengine wanatumia permit fake za Wanigeria, jichunge usifanye kosa tu la kukupeleka Polisi hapo permit fake yako ni lazima ibume kwenye system.

Nchi kama Canada inahitaji zaidi watu, lakini wanacontrol utowaji wa viza zao ila ukitusuwa kuingia hawana shida imetoka hiyo.

Na kingine ukiwa na kibali cha kuishi Canada maana yake Marekani unaingia kwa border entry tu kama wewe unavyokwenda Nairobi Kenya tu, Toronto to New York ni Masaa manne tu kwa gari.

Ili kuzuia Canada kuwa uchochoro wa kuingilia Marekani nao wamedhibiti utowaji wa viza yao ingawa kiukweli Canada inahitaji sana watu lakini inailinda Marekani pia kutumia kama transit ya kuingilia Marekani.

Canada ilishachukuwa wakimbizi wa Burundi kwenye makambi huko Ngara na kuleta ndege ikawapeleka Canada na kuwapa Uraia.
Vip ishu Canada Zimekaaje Kazi Zipi Ukifika Rahisi Kupata
 
Sijui tunakwama wapi aisee,jamaa atakua na darasa tarehe 1 okt ubungo plaza nadhani kufundisha namna ya kuomba green card,muitiko ni sifuri bado,naona wakenya wamemuita kabisa aende kenya kuwafundisha,jana jamaa nimeona amepost youtube yupo kenya aisee!
Tatizo lugha na watanzania wanajua kwenda nje ni gharama kubwa na wao kula yao ni shida
 
Kwa watu tulioishi ulaya Kama Mimi hunisumbuwi na ulaya.

Wengi hukimbilia ulaya sababu ya ulimbukeni mtupu.

Hivi mtu una kazi au shughuli zako za maana utakimbilia kupata $ 300 kwa mwezi?
Wazungu wenyewe wanakuja kuwekeza Zanzibar kwa kujenga vi Restaurant ambavyo wabongo wanaweza kuwekeza , wanasema kwao hakuna fursa biashara wanayoiwekeza hapa kwao haiwezekani , maana kwao huwezi kufungua Min super market.
 
Wakati raia wengine wa Afrika Mashariki wakichangamkia fursa za kwenda ulaya kutengeneza maisha yao, wabongo wao wako busy kutafuta taarifa za dimpozi na baba yake, sijui haji manara kuongeza mke wa pili, dudubaya kujiunga wasafi nk.
Wabongo tunatia aibu sana hapa Afrika Mashariki.
Imagine watu tunashindwa hata na warundi kuchangamkia fursa.
 
Wazungu wenyewe wanakuja kuwekeza Zanzibar kwa kujenga vi Restaurant ambavyo wabongo wanaweza kuwekeza , wanasema kwao hakuna fursa biashara wanayoiwekeza hapa kwao haiwezekani , maana kwao huwezi kufungua Min super market.
Aliewaroga wabongo ana dhambi sana aisee.
Ni sawa na mtu anaemroga chizi.
 
fursa hiyo tuichangamkie tumpe na sapoti kijana mwenzetu aliyeamua kujitolea kutuelimisha

Hii video wabongo wengi wataipita kama hawaioni, lkn ungeweka video inayozungumzia matumizi ya vumbi la kongo kama alivyosema mh raisi jana basi saa hizi huko youtube kungekuwa hapatoshi kwa Like na maswali ya wabongo wanaotaka kulitumia.
 
Sie wabongo ni shida sana mkuu,kwenye video wakenya wanamuuliza jamaa ataenda lini kwao!sie tuko busy na birthday ya wema sepenga badala kudeal na vitu vya maana!
 
Sie wabongo ni shida sana mkuu,kwenye video wakenya wanamuulizq jamaa ataenda lini kwao!sie tuko busy na birthday ya wema sepenga badala kudeal na vitu vya maana!
Wabongo tuko nyuma kwa mambo mengi yenye faida na manufaa kwa mwanadamu. Na tuko mbele kweny mambo yasiokuwa na faida wala manufaa kwa mwanadam.
 
Back
Top Bottom