Kupata pasport ya nchi yoyote duniani,kwa njia za udanfanyifu,ni kosa kisheria?

physician2023

JF-Expert Member
Dec 15, 2023
342
458
Ikiwa mtu kapata passport ya nchi ,kwa mfano Amerika au Uingereza,kwa kujifanya ni mkimbizi,amekimbia vita anakotoka,akaenda moja kati ya nchi zunazopokea wakimbizi,na akasema amezaliwa katika nchi hiyo yenye vita,akapewa hadhi ya ukimbizi,wakati hakuzaliwa katikq hiyo nchi,wala hata kuwahi kuishi katika hiyo nchi,na mpaka akapewa passport ya nchi,ya America au U.K.,na sehemu ya kuandika alikozaliwa,ni nchi hiyo yenye vita,wakati hakuzaliwa katika nchi hiyo,amezaliwa nchi nyingine.Na zipo documents,za kuonyesha kazaliwa kwingine,je ni kosa kisheria?
Fraud kama hizi,ndio zinazalisha magaidi.Mara nyingi magaidi wanatumia mwanya huu.Kwa nini serekali nyingi za dunia,hazisambazi maelezo nq picha za watu waliopata passport,kupitia nchi za ulaya,kwa kuweza watu kuwatambua hawa watu,kuwa sio wazaliwa wa hizo nchi?
Wanaofahamu sheria watufahamishe,inawezekana ikawa dini fulani inaulaumiwa,lakini kumbe tatizo liko katika ufuatiliaji wa hawa wanaopewa passport bila kufuatilia ,kiuchunguzi.
 
Tungeomba vyombo husika ifuatilie suala hili,ili dunia iwe na amani.Vyombo vya usalama,vya nchi zote duniani,itoe matangazo,ya kuwa kama kuna mtu au watu,unawashuku kupata uraia,passport ya nchi yoyote duniani kiujanja,uripoti kwa njia gani na zipi.
 
Jamaa bhana. Uwezi kupewa passport kama hujaiomba.
Ufahamu magaidi wengi,na wahalifu wengi hutumia mwanya huo,wakapata passport,hasa za nchi za Amerika na Uingereza,kwa kutotumia karatasi za nchi aliyozaliwa,anajifanya ni mkimbizi wa kivita,kutoka nchi yenye machafuko ya kivita,kuwa kazaliwa huko,kumbe kazaliwa nchi nyingine.
Gaidi sio lazima apigane,anaweza kuwa huyu,ni mpelelezi au mtoa habari,au mchunguzi ,ili wafanikishe lengo lao.
 
Umeshasema kwa njia za udanganyifu halafu tena unauliza kama ni kosa, ww jamaa bhana
Sasa kama ni kosa,mbona hawa wanaopata passport hizikwa njia za udanganyifu,hawachukuliwi hatua?Kwa mfano mtu,anaonekana kabisa ana asili ya kiarabu,lakini passport yake inaonyesha kazaliwa Somalia,wakati hata kisomali hajui,wala nchi ya Somalia hana ndugu,wala hajawahi kuishi.
 
Acha kuwasagia watu kunguni.
Mimi nafanya KAZI Kambi za wakimbizi mchongo wa kuhamia canada USA wa wakimbizi umetiki naachaje kuchomeka ndugu zangu.
Tanga kigoma wabongo kibao wametoboa usa Canada UK Kwa staili hio.
Ukiona msomali ana passport ya nje bongo jua huyo ni mzigua wa handen kabla ya Kambi ya wasomali haijafungwa.
 
Yaani ingewekwa sheria kabisa,yoyote atakayepata passport za nchi za America na Uingereza na nchi yoyote duniani,hasa nchi zinazopokea wakimbizi,ahesabiwe ni gaidi,huu mwanya wanautumia sana magaidi.
Gaid ana njia nyingi za kupata passport Wala hategemei hii
 
Ushasema udanganyifu
Ndio ni udanganyifu,lakini hakunq hatua zinazochukuliwa.Kungefanyika matangazo,kukawa website kabisa,yakuonyesha waliopata hizo passport,na picha zao,na nchi waliosema wamezaliwa,ili watu wahakikishe kweli hawa wamezaliwa huko?Na iwe kwa wanawake na wanaume,wanawake pia wapo wanatumika katika ugaidi,wanatumika kupeleleza,kuchukuwa habari,ili wafanikishe lengo lao.
 
Acha kuwasagia watu kunguni.
Mimi nafanya KAZI Kambi za wakimbizi mchongo wa kuhamia canada USA wa wakimbizi umetiki naachaje kuchomeka ndugu zangu.
Tanga kigoma wabongo kibao wametoboa usa Canada UK Kwa staili hio.
Ukiona msomali ana passport ya nje bongo jua huyo ni mzigua wa handen kabla ya Kambi ya wasomali haijafungwa.
Kwa hiyo tuache ugaidi uendelee,kwa hoja zako hizi.
 
Acha kuwasagia watu kunguni.
Mimi nafanya KAZI Kambi za wakimbizi mchongo wa kuhamia canada USA wa wakimbizi umetiki naachaje kuchomeka ndugu zangu.
Tanga kigoma wabongo kibao wametoboa usa Canada UK Kwa staili hio.
Ukiona msomali ana passport ya nje bongo jua huyo ni mzigua wa handen kabla ya Kambi ya wasomali haijafungwa.
Kwa hiyo hao wazigua wa Handeni,walikuwa na muenekano wa kiarabu?
 
Back
Top Bottom