Njia panda ya mapenzi

Hamna nlitaka tu kupata ubuyu si unajua wanawake twapenda umbea.....

Mi atakaeolewa na mme wangu mbona ntamuua siku ya harusi, yani atakufa kabisa shela.

Ila mwali nawe utakua na shida kulikoni umezaa na kubreak up kote huko.
Afu kwanini usimuue mumeo?manake ye katongozwa Kama wewe,na yeye ni binadamu mwenye kuhitaj kupendwa pia.
 
Mblock achana nae, yye ni mke halali wewe mpita njia
 
Utarogwa, just wait n see.
 
Siwezi kumuua mme wangu nampenda sana, halafu wanangu watakosa baba.....

Ntamuua atakaejiingiza
Hajajiingiza wanawaingiza waume zenu,mnawapa karaha ,mechi mnawabania,mautundu mnaacha mkishavaa Pete,mnaishi nao kimazoea Kama Kaka na Dada,kwanini wasiongeze wake ?
 
Hajajiingiza wanawaingiza waume zenu,mnawapa karaha ,mechi mnawabania,mautundu mnaacha mkishavaa Pete,mnaishi nao kimazoea Kama Kaka na Dada,kwanini wasiongeze wake ?
Hamna hizo huwa ni swags tu za kuja kuwaombea papuchi huko nje, akikuambia hivo ndio unajiona mjuzi unajiona kipepeo mtamu....kumbe ye shida papuchi tu
 
Hamna hizo huwa ni swags tu za kuja kuwaombea papuchi huko nje, akikuambia hivo ndio unajiona mjuzi unajiona kipepeo mtamu....kumbe ye shida papuchi tu
ndio yale yale, mume wa mtu anakufata anasema yeye na mkewe haziivi, unamkubalia kuwa mchepuko wake, lakini cha ajabu yeye na mkewe kila mwaka wanaongeza mtoto
 
ndio yale yale, mume wa mtu anakufata anasema yeye na mkewe haziivi, unamkubalia kuwa mchepuko wake, lakini cha ajabu yeye na mkewe kila mwaka wanaongeza mtoto
Wala kuachana hawaachani..... wanaume sio watu wa mchezo mchezo

😂😂😂 Na hako kambinu kamewawezesha kula papuchi tangu enzi za wakoloni hadi leo kambinu bado kanafanya kazi vema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…