byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,034
- 918
good analytical
Me ni mwalimu wa chuo kikuu, naipenda kazi yangu. Hii kazi inahitaji watu kama yeye, great thinkers with Academic Minds. Watu wavivu wavivu wa kusoma, wakurupukaji, narrow minds hapawafai huku. Huku ni mambo ya kuandika and deep thinking. Karibu bro. zitto.
Nalingia uwezo wa akili yangu kuliko chochote, nafikiri Zitto yupo kwenye mkumbo huu. Sasa kuna hawa watu ambao kutokana na uwezo wao mdogo na vipaji vinyu walivyonavyo inabidi wawategemee watu fulani kwa kila kitu, kujipendekeza!!
Sasa je nje ya siasa watu kama hawa wafuatao wataweza kuyakabili maisha haya magumu??
Siwezi wataja akina saa nane sababu wao ni wafuata mkumbo tu, hawajui watendalo.
- Slaa, atarudia upadre? Sioni kama diploma yake ya dini yaweza mfikisha popote!!?
- Mbowe, may be ataendeleza biashara ya urithi?, the guy lacks innovation.
- Lema, may be ujambazi kama enzi hizooo!!!?
- Mnyika, may be kufundisha tuition secondary school!!!?
- Lissu, kelele?
LISSU ALILIA BAADA YA KUSHINDA KESI YA UBUNGE, ALILIA SAAAANAAA! SITEGEMEI KUMUONA MWALIMU ZITTO AKILILIA UBUNGE.
Me ni mwalimu wa chuo kikuu, naipenda kazi yangu. Sitegemei kufanya kazi nyingine yeyote zaidi ya hii maisha yangu yote. Kijana mwenzangu Zitto Kabwe anataka kuja huku, namkaribisha sana! Kwa elimu yake na performance yake ya darasani anaiweza sana hii kazi. Hii kazi inahitaji watu kama yeye, great thinkers with Academic Minds. Watu wavivu wavivu wa kusoma, wakurupukaji, narrow minds hapawafai huku. Huku ni mambo ya kuandika and deep thinking. Karibu bro. zitto.
Kwa zitto siasa siyo kila kitu, anaweza kuwa nje ya siasa na bado akasurvive tu. Nalingia uwezo wa akili yangu kuliko chochote, nafikiri Zitto yupo kwenye mkumbo huu. Sasa kuna hawa watu ambao kutokana na uwezo wao mdogo na vipaji vinyu walivyonavyo inabidi wawategemee watu fulani kwa kila kitu, kujipendekeza!! Hawawezi kusimama wenyewe kutoa mawazo yao!! Lazima wawe na master!! Always supporting other people ambao wanafikiri wanaweza kuwabeba au la? Wanategemea kitu kimoja tu and wakikikosa hicho basi!! na mara nyingi hiyo kitu inakuwa ni OUTSIDE FORCE,

Siasa ndo kila kitu kwa hao watu hapo juu, ni maisha yao, ndio tegemezi lao, wapo tayari kuua, kusema lolote kwa ajili ya siasa! Tusiwashangae sana kwa wayafanyayo. Tatizo ni waumini wakubwa wa siasa chafu.

If you was a smart, you should know that "issues/scandals always come and go". "Stay put and do not attempt to change a channel"Hivi wewe kamanda,ishu ya Kapuya ikiisha utachangia hoja gani humu Jf? Kutwa ni Kapuya! Huna jipya eti na wewe ni Great thinker!
Walimu wote wa chuo wangekuwa maprofessor tusingekuwa na post za namna hii, hakika hoja haijajibiwa, labda niwakumbushe NJE YA SIASA WATAFANYA NINI?,, tujibu hoja tafadhali.
Me ni mwalimu wa chuo kikuu, naipenda kazi yangu. Sitegemei kufanya kazi nyingine yeyote zaidi ya hii maisha yangu yote. Kijana mwenzangu Zitto Kabwe anataka kuja huku, namkaribisha sana! Kwa elimu yake na performance yake ya darasani anaiweza sana hii kazi. Hii kazi inahitaji watu kama yeye, great thinkers with Academic Minds. Watu wavivu wavivu wa kusoma, wakurupukaji, narrow minds hapawafai huku. Huku ni mambo ya kuandika and deep thinking. Karibu bro. zitto.
Kwa zitto siasa siyo kila kitu, anaweza kuwa nje ya siasa na bado akasurvive tu. Nalingia uwezo wa akili yangu kuliko chochote, nafikiri Zitto yupo kwenye mkumbo huu. Sasa kuna hawa watu ambao kutokana na uwezo wao mdogo na vipaji vinyu walivyonavyo inabidi wawategemee watu fulani kwa kila kitu, kujipendekeza!! Hawawezi kusimama wenyewe kutoa mawazo yao!! Lazima wawe na master!! Always supporting other people ambao wanafikiri wanaweza kuwabeba au la? Wanategemea kitu kimoja tu and wakikikosa hicho basi!! na mara nyingi hiyo kitu inakuwa ni OUTSIDE FORCE,
Sasa je nje ya siasa watu kama hawa wafuatao wataweza kuyakabili maisha haya magumu??
Siwezi wataja akina saa nane sababu wao ni wafuata mkumbo tu, hawajui watendalo.
- Slaa, atarudia upadre? Sioni kama diploma yake ya dini yaweza mfikisha popote!!?
- Mbowe, may be ataendeleza biashara ya urithi?, the guy lacks innovation.
- Lema, may be ujambazi kama enzi hizooo!!!?
- Mnyika, may be kufundisha tuition secondary school!!!?
- Lissu, kelele?
Siasa ndo kila kitu kwa hao watu hapo juu, ni maisha yao, ndio tegemezi lao, wapo tayari kuua, kusema lolote kwa ajili ya siasa! Tusiwashangae sana kwa wayafanyayo. Tatizo ni waumini wakubwa wa siasa chafu.
LISSU ALILIA BAADA YA KUSHINDA KESI YA UBUNGE, ALILIA SAAAANAAA! SITEGEMEI KUMUONA MWALIMU ZITTO AKILILIA UBUNGE.
kwa akili.

KAMA HII NDO WALIMU TULIONAO KWENYE VYUO VYETU, WATAZALIWA AKINA ZITTO ZAIDI YA 1000 KILA MWAKA, HIVI WEWE MWL WA CHUO KISICHOKUWA NA JINA UNAJILINGANISHA NINI NA SLAA AU LISSU?
KUHUSU LEMA WATU MNATABU YA KUMZIMA LAKINI MTU YEYOTE ANAYEMSIKILIZA LEMA KWA MAKINI, BILA KUWA BIAS ATAKIRI KUWA LEMA UONGEA MAMBO YENYE TENA YENYE HEKIMA KUTOKANA NA MAZINGIRA.
JUU YA MNYIKA NAJUA HAKUMALIZA CHUO LAKINI HUWEZI KUMLINGANISHA NA PROFESSA YEYOTE ALIYOKO NDANI YA CCM.
NAOMBA KUJUA JINSI YAKO ILI NIJUE ULIBAKIJE KUFUNDISHA KWANI KWA ULIYOAANDIKA UFAI KUWA MWALIMU, KAMA TUNAVYOJUA KUNA KUBAKI KWA AINA TATU(1. KUDESA, 2. CHUPI, 3. KUBEBWA NA WAKUFUNZI WAKO, 4. KUWA KIPANGA(hii ya ukipanga chapisho lako limeonyesha hauna))