Nje ya siasa hawa akina Lema, Wenje, Mnyika, Slaa and co. si watakufa njaa!?

Mleta maada sidhani kama anauelewa wowote,na kama kweli unafundisha chuo basi naweza amini kuwa wanaofaulu kupitia kwako hawana chochote cha kufanyia kazi. Unajua inasikitisha sana kama kweli wewe ni una elimu then unashabikia jambo ambalo umeshindwa hata kuja na valid and or reliable evidence inayoweza kuthibitisha bila kuacha shaka juu ya hicho unachosema. Vinginevyo labda kama umeamua kujishusha grade makusudi kwa kiwango hicho
 
Tusikubali watu kuidhalilisha elimu yetu kwa kiasi hiki. Ikiwa huyu ni Mwalimu wa Chuo na siyo chuo tu bali ni Chuo Kikuu. Ndugu kwa namna nilivyokufahamu kupitia uzi wako huu hufai na hustaili kuwa mwalimu wa chuo kikuu.
 
Mtoa mada ni mvivu wa kufikiri. Kama wabunge ( mnyika na lema), dr silaa alikuwa mbunge mpaka alipoombwa kugombea urais na kufanywa katibu mkuu badae mshahara wake wa sasa ni kama em 7 kutokana na kuachishwa ubunge agombee urais.

Jiulize kwa pesa wanayotengeneza kwa miaka 5 na kiinua mgongo chao bila PAYE we mtoa mada na huo uhadhiri wako chuo utaitengeneza miaka mingapi?

Kwa msomi makini angenyanyambua hili na asingeleta hii mada.

Zitto miaka minane sasa bungeni na ni tajiri tayari. Je hao unaowabeza?
 
Lecturer unakuja hapa na fake ID then unasema unaringia akili yako????Are you really liberated by your bookish education???Go back and clean your buccal cavity beacause you are stinking!!
 
Hata wewe unafundisha mavi na akili yako pia ni mavi kichwan... We si mwl hata kidogo.. Hebu jiulize wewe kabla kuwa mla mavi ulikuwa ukiwafundisha kina nan?? Chuo kikuu chako unachofundisha ni cha mavi na ughaidi.. Juma nkamia vp upo nae? Zito kafanya lipi chadema? Kwake mbn hana madiwan wa kutosha?? Jiulize wew ukiacha kula mavi utakula nn

Yaani ndio Mavi kabisa, unauliza Zitto ana madiwani wangapi? mbowe ana wangapi? selasini je? wanakigoma wanaangalia mtu sio chama. jenga hoja acha ujinga, kwani hizo sifa za mwalim Zitto hanazo? Lema si alikua anakwapua magari au unataka tumuite Jambazi mwenzake Zombe?
 
Mleta mada anajaribu kulazimisha watu wawaone hao wakina lema kama failures in life...ngoja nikwambie y ulichoandika ni uongo
1.Upo biased..umewaponda coz ya ukanda na udini eg slaa na diploma yake ya upadri
2.Umewaponda bkoz ya zitto..u juc wntd to show us dat zito is the brightest samthn whch is wrng
3.Lissu is a renowned lawyer,,ukweli mchungu i can tel u dat ccm tuna wanasheria wazuri bt hawafui dafu kwa lawyers waliopo cdm marando,lissu,prof safari
4.Mbowe lacks innovation?? U ar wrong kabisa,,,fuatilia jinsi alivyoendeleza biashara za babake
Acha niishie apa
Naombeni tuwe makini with our words,,,tunazidi kubomoa umoja wa watanzania
 
Wenje yuko kwenye zama zake za mwisho kabisa za ubunge, nadhani wameshapata mtaji sasa, wakawe wajasiriamali, maana siasa wameshindwa!
 
Aaa umesahau kwamba Lema alikua "muuza magari maarufu"
Si atarudia tu fani yake
 
Back
Top Bottom