Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Huyo jamaa inabidi AKAPULIWE KIDOGO NA KAPUYA
Amtafute mliberali mwenzake amshughulikie!
Huyo jamaa inabidi AKAPULIWE KIDOGO NA KAPUYA
Wewe ndio kama Dr Kitila?
Kiongozi umeiweka vizuri sana hiyo, Short and Clear!!
kwa akili.Kwa nini?
Am sorry to say that kama hii ndo argument ya mwalimu wa chuo [if at all you are] then taifa lipo kwenye maangamizi, na ndo maana Mh. Msigwa alisema siku hizi akisimama kuongea mwalimu wa chuo kikuu anakuwa hana tofauti na aliyeishia darasa la pili, a very poor argument from you and am disappointed hopefully upo OUT, ina maana taifa hili wenye nazo ni walimu wa chuo tu?na je kama kufundisha chuo kuna maslahi bora lecturers wanafuata nn kwenye siasa?kuwa na resource siyo lazima shule kubwa kihivyo, siku hizi unakuta mtu darasani hajiwezi mpeleke kwenye hata biashara ya kuuza ubuyu anakuwa mjasiria mali mzuri na kutengeneza mtaji wa kufanya wonders, kumshinda hata mwalimu wa chuo aliyepangishiwa nyumba, umeme na maji analipiwa, anapewa mshahara mnono na allowances mwisho wa siku anakuwa complete failure asiye hata na nyumba ya kusingiziwa, so jipange maana ualimu mwingine unapatikana kwa chabo na vibomu, hence usijidhanie umesimama kumbe ushaanguka muda tu.
mleta mada utakuwa name matatizo.hivi nani kakuuliza kazi yako mpaka uanze kutudanganya kwa kazi ambayo hats baada ya miaka kumi back hutakuwa name uwezo wa kufanya.nasema hivi kwa sababu mambo uliyotuletea hapa yanaonyesha elimu yako si zaidi ya lasaba.hi yo utahitaji miaka mengine mingi sana kuweza kufanya hiyo kazi uliyotudanganya nayo.BTW kwa vigezo vyako,hawa wafuatao wanaweza kufanya kazi gani nje ya siasa?Rameck Airo,Livingston Lusinde,prof maji malefu?
Kama huna ya kuongea ni afadhali ukae kimya kama walimu wa chuo nduyo kama wewe basi hukuna vyuo tena walimu wanaoongee upuuzi kama wewe ni janga la kitaifa
Mkuu mimi sio shabiki wa cdm na wala sipingi hoja yako kwasababu zito kweli ana uwezo ukilinganisha na hao wengine.
Ila, naomba usome tena bandiko lako, sidhani kama linaendana na kazi ulosema unafanya au akili unazo ringia.
Liko too low (mtazamo wangu). Jaribu kuliedit ili lisidhalilishe fani yako.
Ni mtazamo tu, ukiona haukufai potezea.
Upumbavu mwingine huu hapa. Najua kuna mataahira watakuja kuutukuza
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums