Nje ya siasa hawa akina Lema, Wenje, Mnyika, Slaa and co. si watakufa njaa!?

N

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Messages
961
Likes
416
Points
80
N

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2011
961 416 80
Me ni mwalimu wa chuo kikuu, naipenda kazi yangu. Sitegemei kufanya kazi nyingine yeyote zaidi ya hii maisha yangu yote. Kijana mwenzangu Zitto Kabwe anataka kuja huku, namkaribisha sana! Kwa elimu yake na performance yake ya darasani anaiweza sana hii kazi. Hii kazi inahitaji watu kama yeye, great thinkers with Academic Minds. Watu wavivu wavivu wa kusoma, wakurupukaji, narrow minds hapawafai huku. Huku ni mambo ya kuandika and deep thinking. Karibu bro. zitto.

Kwa zitto siasa siyo kila kitu, anaweza kuwa nje ya siasa na bado akasurvive tu. Nalingia uwezo wa akili yangu kuliko chochote, nafikiri Zitto yupo kwenye mkumbo huu. Sasa kuna hawa watu ambao kutokana na uwezo wao mdogo na vipaji vinyu walivyonavyo inabidi wawategemee watu fulani kwa kila kitu, kujipendekeza!! Hawawezi kusimama wenyewe kutoa mawazo yao!! Lazima wawe na master!! Always supporting other people ambao wanafikiri wanaweza kuwabeba au la? Wanategemea kitu kimoja tu and wakikikosa hicho basi!! na mara nyingi hiyo kitu inakuwa ni OUTSIDE FORCE,

Sasa je nje ya siasa watu kama hawa wafuatao wataweza kuyakabili maisha haya magumu??
  • Slaa, atarudia upadre? Sioni kama diploma yake ya dini yaweza mfikisha popote!!?
  • Mbowe, may be ataendeleza biashara ya urithi?, the guy lacks innovation.
  • Lema, may be ujambazi kama enzi hizooo!!!?
  • Mnyika, may be kufundisha tuition secondary school!!!?
  • Lissu, kelele?
Siwezi wataja akina saa nane sababu wao ni wafuata mkumbo tu, hawajui watendalo.

Siasa ndo kila kitu kwa hao watu hapo juu, ni maisha yao, ndio tegemezi lao, wapo tayari kuua, kusema lolote kwa ajili ya siasa! Tusiwashangae sana kwa wayafanyayo. Tatizo ni waumini wakubwa wa siasa chafu.

LISSU ALILIA BAADA YA KUSHINDA KESI YA UBUNGE, ALILIA SAAAANAAA! SITEGEMEI KUMUONA MWALIMU ZITTO AKILILIA UBUNGE.
 
N

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Messages
961
Likes
416
Points
80
N

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2011
961 416 80
ZITTO achana na hao walafi, njoo tufundishe wadogo zetu.
 
O

olengai

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Messages
308
Likes
0
Points
0
Age
37
O

olengai

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2013
308 0 0
Hata wewe unafundisha mavi na akili yako pia ni mavi kichwan... We si mwl hata kidogo.. Hebu jiulize wewe kabla kuwa mla mavi ulikuwa ukiwafundisha kina nan?? Chuo kikuu chako unachofundisha ni cha mavi na ughaidi.. Juma nkamia vp upo nae? Zito kafanya lipi chadema? Kwake mbn hana madiwan wa kutosha?? Jiulize wew ukiacha kula mavi utakula nn
 
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Messages
4,808
Likes
257
Points
180
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2012
4,808 257 180
Me ni mwalimu wa chuo kikuu, naipenda kazi yangu. Sitegemei kufanya kazi nyingine yeyote zaidi ya hii maisha yangu yote. Kijana mwenzangu Zitto Kabwe anataka kuja huku, namkaribisha sana! Kwa elimu yake na performance yake ya darasani anaiweza sana hii kazi. Hii kazi inahitaji watu kama yeye, great thinkers with Academic Minds. Watu wavivu wavivu wa kusoma, wakurupukaji, narrow minds hapawafai huku. Huku ni mambo ya kuandika and deep thinking. Karibu bro. zitto.

Kwa zitto siasa siyo kila kitu, anaweza kuwa nje ya siasa na bado akasurvive tu. Nalingia uwezo wa akili yangu kuliko chochote, nafikiri Zitto yupo kwenye mkumbo huu. Sasa kuna hawa watu ambao kutokana na uwezo wao mdogo na vipaji vinyu walivyonavyo inabidi wawategemee watu fulani kwa kila kitu, kujipendekeza!! Hawawezi kusimama wenyewe kutoa mawazo yao!! Lazima wawe na master!! Always supporting other people ambao wanafikiri wanaweza kuwabeba au la? Wanategemea kitu kimoja tu and wakikikosa hicho basi!! na mara nyingi hiyo kitu inakuwa ni OUTSIDE FORCE,

Sasa je nje ya siasa watu kama hawa wafuatao wataweza kuyakabili maisha haya magumu??
  • Slaa, atarudia upadre? Sioni kama diploma yake ya dini yaweza mfikisha popote!!?
  • Mbowe, may be ataendeleza biashara ya urithi?, the guy lacks innovation.
  • Lema, may be ujambazi kama enzi hizooo!!!?
  • Mnyika, may be kufundisha tuition secondary school!!!?
  • Lissu, kelele?
Siwezi wataja akina saa nane sababu wao ni wafuata mkumbo tu, hawajui watendalo.

Siasa ndo kila kitu kwa hao watu hapo juu, ni maisha yao, ndio tegemezi lao, wapo tayari kuua, kusema lolote kwa ajili ya siasa! Tusiwashangae sana kwa wayafanyayo. Tatizo ni waumini wakubwa wa siasa chafu.

LISSU ALILIA BAADA YA KUSHINDA KESI YA UBUNGE, ALILIA SAAAANAAA! SITEGEMEI KUMUONA MWALIMU ZITTO AKILILIA UBUNGE.
Hata Kapuya naye ni Mwalimu wa Chuo kikuu, Nani asiyejua uasharati wenu nyie Magamba huko vyuo vikuu? hell with your job
 
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
5,654
Likes
35
Points
145
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
5,654 35 145
Huyu mwenye lugha ya wivu wa kike naye ni mwalimu wa chuo?
 
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
4,587
Likes
8
Points
135
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
4,587 8 135
Hata Kapuya naye ni Mwalimu wa Chuo kikuu, Nani asiyejua uasharati wenu nyie Magamba huko vyuo vikuu? hell with your job
Hivi wewe kamanda,ishu ya Kapuya ikiisha utachangia hoja gani humu Jf? Kutwa ni Kapuya! Huna jipya eti na wewe ni Great thinker!
 
N

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Messages
961
Likes
416
Points
80
N

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2011
961 416 80
Kiongozi umeiweka vizuri sana hiyo, Short and Clear!!
Swala la kuwalisha au kutowalisha sio fact in issue! Jibu hoja ya msingi,"Nje ya siasa,watafanya shughuli gani"?
 
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
3,894
Likes
407
Points
180
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
3,894 407 180
babu atarudi kwa MAASKOFU
 
piper

piper

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Messages
3,255
Likes
12
Points
135
piper

piper

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2012
3,255 12 135
Am sorry to say that kama hii ndo argument ya mwalimu wa chuo [if at all you are] then taifa lipo kwenye maangamizi, na ndo maana Mh. Msigwa alisema siku hizi akisimama kuongea mwalimu wa chuo kikuu anakuwa hana tofauti na aliyeishia darasa la pili, a very poor argument from you and am disappointed hopefully upo OUT, ina maana taifa hili wenye nazo ni walimu wa chuo tu?na je kama kufundisha chuo kuna maslahi bora lecturers wanafuata nn kwenye siasa?

Kuwa na resource siyo lazima shule kubwa kihivyo, siku hizi unakuta mtu darasani hajiwezi mpeleke kwenye hata biashara ya kuuza ubuyu anakuwa mjasiria mali mzuri na kutengeneza mtaji wa kufanya wonders, kumshinda hata mwalimu wa chuo aliyepangishiwa nyumba, umeme na maji analipiwa, anapewa mshahara mnono na allowances mwisho wa siku anakuwa complete failure asiye hata na nyumba ya kusingiziwa, so jipange maana ualimu mwingine unapatikana kwa chabo na vibomu, hence usijidhanie umesimama kumbe ushaanguka muda tu.
 
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
4,587
Likes
8
Points
135
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
4,587 8 135
Hata wewe unafundisha mavi na akili yako pia ni mavi kichwan... We si mwl hata kidogo.. Hebu jiulize wewe kabla kuwa mla mavi ulikuwa ukiwafundisha kina nan?? Chuo kikuu chako unachofundisha ni cha mavi na ughaidi.. Juma nkamia vp upo nae? Zito kafanya lipi chadema? Kwake mbn hana madiwan wa kutosha?? Jiulize wew ukiacha kula mavi utakula nn
Nyie vimbeni kichwa na lugha zenu chafu,wananchi wameishashtukia hiyo saccos yenu, na sidhani kama uchaguzi ujao mtapata hata kuongoza kambi ya upinzani! Mmelewa sifa,mnadhani watanzania ni wajinga sio? Hayo nendeni kanda ya ziwa sasa mkaseme M4c tuone mtaambulia nini wachaga na wapare plus wameru! Chama chenu kimeanzia tengeru na kitaishia stendi ya vifodi na sakina huko! Ngojeni hasira za watanzani (sio wachaga) kwenye balot box! Chadema kwishaaa!
 
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,490
Likes
3,085
Points
280
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,490 3,085 280
Wewe ndio kama Dr Kitila?
 
Forum statistics

Threads 1,252,114
Members 481,989
Posts 29,795,876