Witmak255
JF-Expert Member
- Feb 5, 2019
- 3,264
- 5,403
- Thread starter
- #41
Wabongo tuna uwezo mdogo Sana wa kujenga hoja.Hao ninaozungumzia wana hadi uraia wa nchi walizoko na wengine wanalipwa hadi na serikali za huko. Sijazungumzia wazamiaji
God save us
Hebu Rudia kusoma ile thread mkuu kabla hujareply maana unanipa shida mda wote unaandika vitu nje ya mada