Nje kuna fursa kuliko Bongo

Bahati njema nami ni mhandisi kama wewe. Na niliajiriwa hapa Tz kwa miaka zaidi ya 10, na pia nikapata bahati ya kupata ajira nje ya Tz. Na nimefanya kazi kwenye zaidi ya nchi 5 tofauti na Tz.
But leo nimerejea Tz na ninaishi kwa raha mustarehe, tena I'm doing better na hii biashara yangu ya kuuza matikiti hapa kitandani kwangu
Hahahaha Basi sawa mkuu, utaongezea nyama kwenye uzi wa alhamis
 
Kuna watu waki huko huwa inafika wakati nawakopesha. Wewe kubali ni limbukeni kama alivyosema Ushimen

God save us
Hahahah hizi Ni akili za wabongo walio na stress na maisha. Basi sawa Mimi limbukeni.
Ukiona mtu anatukana badala ya kujenga hoja, nadhani ungeanza kujitathmini mwenyew kwanza Nani limbukeni
 
Aibu nimeona mie...
Mkuu nina ndugu zangu wengi wako majuu nchi tofauti wengine wana miaka zaidi ya 10 lakini hata vibanda hawana. Kunamda wanafika wananishawishi niende lakini nikiangalia maendelo yao kiuchumi nabaki kuwasikiliza tu.

Mkuu, mfano halisi na rahisi ni....
Uliwahi kumuona yeyote anaekua countable kama tajiri kwasababu anaishi huko nje..??
Na je, umewahi kuona yeyote anaishi nje na akakuwa na mafanikio kubwa Tz kwasababu tu anaishi/alipata fursa nje..??
Mbaya zaidi waTz wengi hawajawahi kujua kwamba huko nje pana masharti magumu sana linapo kuja swala la usafirishaji wa fedha..
 
Inategemeana ni mtu wa namna gani? Soma thread yangu Tena utaelewa
 
Hahahah hizi Ni akili za wabongo walio na stress na maisha. Basi sawa Mimi limbukeni.
Ukiona mtu anatukana badala ya kujenga hoja, nadhani ungeanza kujitathmini mwenyew kwanza Nani limbukeni
Sidhani kama neno limbukeni ni tusi ndugu mhandisi?

Watu huko ulaya tunakuja kama tunavyoenda msalani. April niki Brussels ikibidi tupia conatct PM nitakuche maana nauli haizidi €60 na ni kama lisaa

God save us
 
Today
Mkuu, mfano halisi na rahisi ni....
Uliwahi kumuona yeyote anaekua countable kama tajiri kwasababu anaishi huko nje..??
Na je, umewahi kuona yeyote anaishi nje na akakuwa na mafanikio kubwa Tz kwasababu tu anaishi/alipata fursa nje..??
Mbaya zaidi waTz wengi hawajawahi kujua kwamba huko nje pana masharti magumu sana linapo kuja swala la usafirishaji wa fedha..
Sijazungumzia utajiri, Kuna vitu unachanganya... Hebu soma Tena ile thread
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom