Nje kuna fursa kuliko Bongo

Nje kuna fursa kuliko Bongo

Halafu sizungumzii hii thread ya mda huu, but seriously update IQ yako ya ufikiri na kujenga hoja yaani kama una mke Basi atakuwa huyo mke ndo anaibeba familia.
Unaonesha uwezo mdogo mno wa kujenga hoja
Nini maana ya hoja.
Nadhani IQ yako wewe ndio ndogo.

Nilichokisema ninakimaanisha.
Kuna familia nazijua wazazi wao wamehangaika kuwapeleka ulaya lakini cha ajabu kuna siku wanalala na njaa na hata watoto wa walio nje wengine hata shule hawaendi.

Nazungumziwa watu waliokwenda ulaya kihalali sio wazamiaji.

God save us
 
Hao ninaozungumzia wana hadi uraia wa nchi walizoko na wengine wanalipwa hadi na serikali za huko. Sijazungumzia wazamiaji

God save us
Mkuu kama ww hauna cha kujifunza hapa pita kushoto, kama kweli unajua share uzoefu wako kwa faida ya wote otherwise kula buyu.
Unandugu na jamaa zako wapo majuu sawa tumekujua ww sio level zetu na sidhani kama mleta mada amelenga wale ambao wapo kundi lako la wajauaji, ameleta uzi kwa wale tusio na fununu za huko nje.
Wale ndugu zako na jamaa zako wanaishi uko majuu na wana uraia wa huko hata wengine wanalipwa na serikali lakini bado wanakuomba pesa uwakopeshe sawa tushajua ww tajiri so huu uzi haukufai, hapa ni kwa wale wasaka fursa.
 
Nini maana ya hoja.
Nadhani IQ yako wewe ndio ndogo.

Nilichokisema ninakimaanisha.
Kuna familia nazijua wazazi wao wamehangaika kuwapeleka ulaya lakini cha ajabu kuna siku wanalala na njaa na hata watoto wa walio nje wengine hata shule hawaendi.

Nazungumziwa watu waliokwenda ulaya kihalali sio wazamiaji.

God save us
Hahahah unajua gharama ya kumsomesha mtu chuo ulaya?
Upate pesa ya kumlipia chuo ulaya then ulale njaa, haya yatakuwa maajabu kutoka Tanzania, lakini sishangai mm Ni mbongo asilia kabisa, najua tabia zetu kwenye hii mitandao ya kijamii ukimkuta mbongo maskini kwenye social network maisha yake Ni zaidi ya tajiri na tajiri anaishi Kama maskini.
Na wewe umeprove hili
 
Na hili ndo lilikuwa lengo haswa
Mkuu kama ww hauna cha kujifunza hapa pita kushoto, kama kweli unajua share uzoefu wako kwa faida ya wote otherwise kula buyu.
Unandugu na jamaa zako wapo majuu sawa tumekujua ww sio level zetu na sidhani kama mleta mada amelenga wale ambao wapo kundi lako la wajauaji, ameleta uzi kwa wale tusio na fununu za huko nje.
Wale ndugu zako na jamaa zako wanaishi uko majuu na wana uraia wa huko hata wengine wanalipwa na serikali lakini bado wanakuomba pesa uwakopeshe sawa tushajua ww tajiri so huu uzi haukufai, hapa ni kwa wale wasaka fursa.
 
Hahahah unajua gharama ya kumsomesha mtu chuo ulaya?
Upate pesa ya kumlipia chuo ulaya then ulale njaa, haya yatakuwa maajabu kutoka Tanzania, lakini sishangai mm Ni mbongo asilia kabisa, najua tabia zetu kwenye hii mitandao ya kijamii ukimkuta mbongo maskini kwenye social network maisha yake Ni zaidi ya tajiri na tajiri anaishi Kama maskini.
Na wewe umeprove hili
Ona sasa akili yako ilivyo ndogo.
Nimesema wapi wamewasomesha ulaya?

Rudi usome vizuri we kilaza.
Au kama hujaekewa sema nirudie kukufahamisha.

God save us
 
Asikuambie mtu bongo ni tamu ni raha huko nje nendeni Mimi nabaki hapa hapa kwa Nyerere mkirudi mkiongea bega moja mnapandisha juu mnaishi kwa upweke hakuna vigodoro vibanda umiza udambwi udambwi hakuna....Siwezi kuishi Ulaya au USA
 
Mkuu nina ndugu zangu wengi wako majuu nchi tofauti wengine wana miaka zaidi ya 10 lakini hata vibanda hawana. Kunamda wanafika wananishawishi niende lakini nikiangalia maendelo yao kiuchumi nabaki kuwasikiliza tu.

God save us
HUYU MLETA MADA KOSA LAKE NINI? MBONA MNAMSHAMBULIA KAMA MNAMFAHAMU?
ACHENI WIVU WA KIKE, MUACHE ATOE UZOEFU WAKE HATA KAMA AMEKAA WIKI MBILI ULAYA, PUMBAFU KABISA.
MTU HUMJUI ILA UNAMUONEA WIVU WEWE SI NDIO MCHAWI KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo tuna uwezo mdogo Sana wa kujenga hoja.
Hebu Rudia kusoma ile thread mkuu kabla hujareply maana unanipa shida mda wote unaandika vitu nje ya mada
ACHANA NAO HAO WAPUMBAVU, WEWE TOA ELIMU TU. WABONGO WAMEKALIA WIVU NA UCHAWI TU.
MTU ANAKAA TANDIKA ILA ANABISHANA NA WEWE ULIYEPO ULAYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengi mna akili mbovu. Wewe utamchekaje mtu anayeishi USA kutokuwa na nyumba TZ? Yaani mnafikiri ukiwa na nyumba TZ ndio ume-win maisha, siyo? Nashangaa sana mawazo ya aina hii. Mnalazimisha kupata urithi wabeba box wanapofariki, siyo?
Cha kuachia mke na watoto mnaowatelekeza huku

God save us
 
Hahahah unajua gharama ya kumsomesha mtu chuo ulaya?
Upate pesa ya kumlipia chuo ulaya then ulale njaa, haya yatakuwa maajabu kutoka Tanzania, lakini sishangai mm Ni mbongo asilia kabisa, najua tabia zetu kwenye hii mitandao ya kijamii ukimkuta mbongo maskini kwenye social network maisha yake Ni zaidi ya tajiri na tajiri anaishi Kama maskini.
Na wewe umeprove hili
Tunakusubiri alhamisi. Usisite kujibu maswali uliyoulizwa hapo juu.

Mnatafuta njia ya kutapeli watu tu humu.
Eti ulaya kuna fursa.

Kuanzia now siwezi jibu thread zako coz naona huna IQ ya kujenga hoja na Mimi.
 
Tunakusubiri alhamisi. Usisite kujibu maswali uliyoulizwa hapo juu.

Mnatafuta njia ya kutapeli watu tu humu.
Eti ulaya kuna fursa.

God save us
Toa upumbavu wako unatujazia saver tu, mtu anatoa elimu wewe unawashwa nini? Ubishi wa kipumbavu kutafuta kiki eti na wewe umefika Ulaya! Hapo Tandika ndio Ulaya.
Muache muanzisha thread atoe elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakusubiri alhamisi. Usisite kujibu maswali uliyoulizwa hapo juu.

Mnatafuta njia ya kutapeli watu tu humu.
Eti ulaya kuna fursa.

God save us
IQ za huyu jamaa Mimi simuelewi ni stress za maisha au analeta siasa, anadhani naihujumu serikali?. Simuelewi.. mm natoa elimu ya nilichokiona maana Kuna watz wengi wako huku nje.
Na wapi umetapeliwa mkuu, nimekuomba pesa? Huyu jamaa simuelewi na kila nikijatahidi kumuelewa simuelewi
 
Toa upumbavu wako unatujazia saver tu, mtu anatoa elimu wewe unawashwa nini? Ubishi wa kipumbavu kutafuta kiki eti na wewe umefika Ulaya! Hapo Tandika ndio Ulaya.
Muache muanzisha thread atoe elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona watu mnahamu ya kwenda Ulaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

God save us
 
IQ za huyu jamaa Mimi simuelewi ni stress za maisha au analeta siasa, anadhani naihujumu serikali?. Simuelewi.. mm natoa elimu ya nilichokiona maana Kuna watz wengi wako huku nje.
Na wapi umetapeliwa mkuu, nimekuomba pesa? Huyu jamaa simuelewi na kila nikijatahidi kumuelewa simuelewi
Ni hoja gani umejenga hapa?
Anyway am done with you. Nikuachie vilaza wenzako uwadanganye

God save us
 
Back
Top Bottom