Mkuu kwa nini msimuache alete alichoandaa afu, ndio mtie mikono?Na chakusikitisha anaonekana ana uzowefu wa kuishi nchi moja nje ya TZ....[emoji12] [emoji12]
Ebu ngoja nikae kimya, nifiche aibu yangu miee.....

Ndio tumemuacha mkuuMkuu kwa nini msimuache alete alichoandaa afu, ndio mtie mikono?
Mkuu usitufanyie hivyo wakazi wa tandika deviskona, inategemea mtu na mtuACHANA NAO HAO WAPUMBAVU, WEWE TOA ELIMU TU. WABONGO WAMEKALIA WIVU NA UCHAWI TU.
MTU ANAKAA TANDIKA ILA ANABISHANA NA WEWE ULIYEPO ULAYA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Mkuu wewe acha tu yaani jitu linaandika utadhani halina kichwa shobo nyingi kichwa zero!!.Hahahah hizi Ni akili za wabongo walio na stress na maisha. Basi sawa Mimi limbukeni.
Ukiona mtu anatukana badala ya kujenga hoja, nadhani ungeanza kujitathmini mwenyew kwanza Nani limbukeni
Uache ujinga kama ndugu zako wameshindwa kujenga ndo unadhani wote hawawezi,kwanza hata ulaya usiende,kwa akili hii uende kufanya nin?akili hii hata barabara huvuki,wanakujaribu tu wala hawana mpango,wanaijua akili yako vyema!!.Mkuu nina ndugu zangu wengi wako majuu nchi tofauti wengine wana miaka zaidi ya 10 lakini hata vibanda hawana. Kunamda wanafika wananishawishi niende lakini nikiangalia maendelo yao kiuchumi nabaki kuwasikiliza tu.
God save us
Asikupe shida bhana jibu ni kwamba ni MJINGA,mbona huwa natumia muda sana kuwazungusha watu kuhusu hali zao?.mwambie straight tu.Mkumbushe;Wabongo tuna uwezo mdogo Sana wa kujenga hoja.
Hebu Rudia kusoma ile thread mkuu kabla hujareply maana unanipa shida mda wote unaandika vitu nje ya mada
Kaa pembeni hata sisi hatuhitaji uende,kama timu unashabikia Yanga,bila shaka chama ni CCM,kaa kando endelea kuwaza vigodoro na vibanda umiza.Asikuambie mtu bongo ni tamu ni raha huko nje nendeni Mimi nabaki hapa hapa kwa Nyerere mkirudi mkiongea bega moja mnapandisha juu mnaishi kwa upweke hakuna vigodoro vibanda umiza udambwi udambwi hakuna....Siwezi kuishi Ulaya au USA
Wewe ni mjinga,kama ndugu zako walio ulaya ni matapeli basi usidhani wote wako hivyo,utapeli ni tabia ya nyumban kwenu,hivyo wote hatujakulia kwenu hatufanani tabia.Tunakusubiri alhamisi. Usisite kujibu maswali uliyoulizwa hapo juu.
Mnatafuta njia ya kutapeli watu tu humu.
Eti ulaya kuna fursa.
God save us
Habari zenu wanajamvi, Bila shaka mnaendelea na mapambano ya kulijenga taifa.
Wiki ijayo nitaleta uzi humu kuelezea fursa ziliko nje hasa hapa Geneva nilipo ambapo kwa Tanzania mazingira siyo rafiki ya kiutafutaji Kama huku.
Asikudanganye mtu baadhi ya nchi za ulaya Kuna fursa kubwa ya kutoboa maisha kuliko Bongo Kama utakuwa umeingia kihalali.
Naomba niishie hapo tukutane Alhamisi next week
Kweli mkuu umesema vizuri, but now lazma tuvune huku tuwekeze nyumbaniHallo. Zuerst würde ich mich gerne ganz kurz vorstellen dürfen. Ich stamme ursprünglich aus Tansania, ein schönes Land der Welt. Aber jetzt wohne und arbeite ich hier in Deutschland. Ich glaube, dass es (für eine kurz Vorstellung) alles zusagen ist.
Sasa kwetu wote. Kwanza. Uswiss ni Nchi Nzuri na tajiri lakini Tukumbuke bado Sio kwetu. Hata ukiwa na Hela kama mkuu wangu, rangi yako itakunyima amani mpaka unakufa. And it will also never be easy for the children either. Amani na uhuru wako kama mwanadamu Unanipoteza. Njiani, kwenye matrain, Trams nk. Utajiskia mtu nusu hata kukaa kiti unaweza kushangaa Hakai mtu na Akikaa anakuwa na wasi kama hutamwibia. Na mtu akikujua kidogo tu maswali. „ wie lange sind sie hier in Deutschland....? ( upo Muda gani huku )Gibt es Strom in Afrika wie hier ( kuna umeme afrika Kama huku... wengi wanatamka Afrika kama Nchi moja Hivi ) na maswali Mengi ya kibaguzi.
Pili. Uswiss ndo wameiba sana madini na mali zetu. So we kula tu utajiri Wa Nchi yako. Ila nakwambia furaha ya kufanikiwa ukiwa bongo hailezeki pamoja na unafiki na Majungu Mengi ya Sisi Watanzania.
Tatu. Wazungu wanaendelea in Eu kujadili wafanyakazi wageni na hata wakimbizi. Afu kuja kihalali huku na kukaa Sio Rahisi sana. Lugha, kukubalika na mambo Mengi ni changamoto.
Nne. So long as kuna kazi ambazo wazungu Original hawataki kuzifanya, uhakika ukipata Utalipwa vizuri Ingawa na majukumu nayo wanahakikisha Hela yao utaitumia ulaya. Uswiss wanalipa vizuri ila Maisha ni Ghari sana , Ndo Mana wanashauri kama utakuwa na Wohnung ujerumani. Austria, ufaransa mpakani then ni better. Sijui we Bwana injinia. Mana Maisha ni nafasi.
Tanzania ni Nchi maskini na utajiri wetu ni 57 Millionen people, so usipende sana kufananisha kama kuna mzani Sawa. Then huku kazi kwa masaa, na wapendwa utafanya Hakuna Story. Waambie Wtz Hakuna tea break masaa matatu kuhusu weekend ulivyotumia Karama ya bure chini ya kitovu. Muda Wa Majungu utapungua mana kazi lazima ulete results Sio unahudhuria na kusaini then unakimbilia JF kudai ongezeko La mshahara. So waambie yote Ila Usisahau Tz bado maskini na Afrika ikija kutajirika hawa watasafa mana tuna resources nyingi sana.
Wewe mbona hujarudi bongo? Njoo ukutane na mzee wa kikokotoo a.k.a mzee wa korosho.Hallo. Zuerst würde ich mich gerne ganz kurz vorstellen dürfen. Ich stamme ursprünglich aus Tansania, ein schönes Land der Welt. Aber jetzt wohne und arbeite ich hier in Deutschland. Ich glaube, dass es (für eine kurz Vorstellung) alles zusagen ist.
Sasa kwetu wote. Kwanza. Uswiss ni Nchi Nzuri na tajiri lakini Tukumbuke bado Sio kwetu. Hata ukiwa na Hela kama mkuu wangu, rangi yako itakunyima amani mpaka unakufa. And it will also never be easy for the children either. Amani na uhuru wako kama mwanadamu Unanipoteza. Njiani, kwenye matrain, Trams nk. Utajiskia mtu nusu hata kukaa kiti unaweza kushangaa Hakai mtu na Akikaa anakuwa na wasi kama hutamwibia. Na mtu akikujua kidogo tu maswali. „ wie lange sind sie hier in Deutschland....? ( upo Muda gani huku )Gibt es Strom in Afrika wie hier ( kuna umeme afrika Kama huku... wengi wanatamka Afrika kama Nchi moja Hivi ) na maswali Mengi ya kibaguzi.
Pili. Uswiss ndo wameiba sana madini na mali zetu. So we kula tu utajiri Wa Nchi yako. Ila nakwambia furaha ya kufanikiwa ukiwa bongo hailezeki pamoja na unafiki na Majungu Mengi ya Sisi Watanzania.
Tatu. Wazungu wanaendelea in Eu kujadili wafanyakazi wageni na hata wakimbizi. Afu kuja kihalali huku na kukaa Sio Rahisi sana. Lugha, kukubalika na mambo Mengi ni changamoto.
Nne. So long as kuna kazi ambazo wazungu Original hawataki kuzifanya, uhakika ukipata Utalipwa vizuri Ingawa na majukumu nayo wanahakikisha Hela yao utaitumia ulaya. Uswiss wanalipa vizuri ila Maisha ni Ghari sana , Ndo Mana wanashauri kama utakuwa na Wohnung ujerumani. Austria, ufaransa mpakani then ni better. Sijui we Bwana injinia. Mana Maisha ni nafasi.
Tanzania ni Nchi maskini na utajiri wetu ni 57 Millionen people, so usipende sana kufananisha kama kuna mzani Sawa. Then huku kazi kwa masaa, na wapendwa utafanya Hakuna Story. Waambie Wtz Hakuna tea break masaa matatu kuhusu weekend ulivyotumia Karama ya bure chini ya kitovu. Muda Wa Majungu utapungua mana kazi lazima ulete results Sio unahudhuria na kusaini then unakimbilia JF kudai ongezeko La mshahara. So waambie yote Ila Usisahau Tz bado maskini na Afrika ikija kutajirika hawa watasafa mana tuna resources nyingi sana.
Mademu wa kizungu ni walaini maji mara moja kama mademu wa mby au wanapiga kalenda?Hahahaha sawa ila kipengele namba 4 Sina uzoefu nacho but kiukweli ukipata nafasi ya kuja huku kihalali lazma utoboe, labda uendekeze starehe za kupindukia
Mkuu, mfano halisi na rahisi ni....
Uliwahi kumuona yeyote anaekua countable kama tajiri kwasababu anaishi huko nje..??
Na je, umewahi kuona yeyote anaishi nje na akakuwa na mafanikio kubwa Tz kwasababu tu anaishi/alipata fursa nje..??
Mbaya zaidi waTz wengi hawajawahi kujua kwamba huko nje pana masharti magumu sana linapo kuja swala la usafirishaji wa fedha..
Usigeneralize mkuu.Vice versa is.... kwenda nje kwaajili ya kupata fursa is equal to time wasted big time, when you compare back to homies wanao baki Tz....[emoji4] [emoji4]
Waache wajiridhishe,kuna watu sasa hivi kuitwa baby kumeongezeka,mar 50 kwa siku mkuu.Nadhani hapa tutumie somo la reasoning.
Binadamu ana miguu miwili.
Ushimen ni binadamu.
Ushimen anamiguu miwili.
Kama bongo kuna fursa nyingi mzee baba tuliobaki tungekuwa na maisha mazuri kuwazidi waliotoka.