Hallo. Zuerst würde ich mich gerne ganz kurz vorstellen dürfen. Ich stamme ursprünglich aus Tansania, ein schönes Land der Welt. Aber jetzt wohne und arbeite ich hier in Deutschland. Ich glaube, dass es (für eine kurz Vorstellung) alles zusagen ist.
Sasa kwetu wote. Kwanza. Uswiss ni Nchi Nzuri na tajiri lakini Tukumbuke bado Sio kwetu. Hata ukiwa na Hela kama mkuu wangu, rangi yako itakunyima amani mpaka unakufa. And it will also never be easy for the children either. Amani na uhuru wako kama mwanadamu Unanipoteza. Njiani, kwenye matrain, Trams nk. Utajiskia mtu nusu hata kukaa kiti unaweza kushangaa Hakai mtu na Akikaa anakuwa na wasi kama hutamwibia. Na mtu akikujua kidogo tu maswali. „ wie lange sind sie hier in Deutschland....? ( upo Muda gani huku )Gibt es Strom in Afrika wie hier ( kuna umeme afrika Kama huku... wengi wanatamka Afrika kama Nchi moja Hivi ) na maswali Mengi ya kibaguzi.
Pili. Uswiss ndo wameiba sana madini na mali zetu. So we kula tu utajiri Wa Nchi yako. Ila nakwambia furaha ya kufanikiwa ukiwa bongo hailezeki pamoja na unafiki na Majungu Mengi ya Sisi Watanzania.
Tatu. Wazungu wanaendelea in Eu kujadili wafanyakazi wageni na hata wakimbizi. Afu kuja kihalali huku na kukaa Sio Rahisi sana. Lugha, kukubalika na mambo Mengi ni changamoto.
Nne. So long as kuna kazi ambazo wazungu Original hawataki kuzifanya, uhakika ukipata Utalipwa vizuri Ingawa na majukumu nayo wanahakikisha Hela yao utaitumia ulaya. Uswiss wanalipa vizuri ila Maisha ni Ghari sana , Ndo Mana wanashauri kama utakuwa na Wohnung ujerumani. Austria, ufaransa mpakani then ni better. Sijui we Bwana injinia. Mana Maisha ni nafasi.
Tanzania ni Nchi maskini na utajiri wetu ni 57 Millionen people, so usipende sana kufananisha kama kuna mzani Sawa. Then huku kazi kwa masaa, na wapendwa utafanya Hakuna Story. Waambie Wtz Hakuna tea break masaa matatu kuhusu weekend ulivyotumia Karama ya bure chini ya kitovu. Muda Wa Majungu utapungua mana kazi lazima ulete results Sio unahudhuria na kusaini then unakimbilia JF kudai ongezeko La mshahara. So waambie yote Ila Usisahau Tz bado maskini na Afrika ikija kutajirika hawa watasafa mana tuna resources nyingi sana.