Nje kuna fursa kuliko Bongo

Mkuu, mfano halisi na rahisi ni....
Uliwahi kumuona yeyote anaekua countable kama tajiri kwasababu anaishi huko nje..??
Na je, umewahi kuona yeyote anaishi nje na akakuwa na mafanikio kubwa Tz kwasababu tu anaishi/alipata fursa nje..??
Mbaya zaidi waTz wengi hawajawahi kujua kwamba huko nje pana masharti magumu sana linapo kuja swala la usafirishaji wa fedha..
Mleta maada ni moja wao. Itabidi asaidiwe pale atakapoleta uzi.

Akikujibu swali namba 4. Tutamwekewa

God save us
 
Usisahau kuleta na:-
1. House rent prices compared to Tz
2. Usisahau na kodi ya Maputo/biashara ukilinganisha na Tz.
3. Kumbuka pia kutuambia prices za Bills za maji safi & taka pamoja na umeme ukilinganisha na huku kwetu Tz
4. Na mwisho kabisa naomba ukumbuke kutuambia kwamba kwanini wengi mliopo nje huwa hamfanyi maajabu huku Tz, zaidi ya kujenga nyumba za kawaida na kurudi na magari ya kutembelea pamoja na makontena yalio jaa house staff, ambavyo huwa mnaishia kuviuza pindi mnapo filia mkorejea Tz.....

Naomba kuwasilisha
5. Stigma za ubaguzi pamoja na uhaba wa starehe za kibongobongo, chakula kinachoendana na sisi na pauchi
 
Usisahau kuleta na:-
1. House rent prices compared to Tz
2. Usisahau na kodi ya Maputo/biashara ukilinganisha na Tz.
3. Kumbuka pia kutuambia prices za Bills za maji safi & taka pamoja na umeme ukilinganisha na huku kwetu Tz
4. Na mwisho kabisa naomba ukumbuke kutuambia kwamba kwanini wengi mliopo nje huwa hamfanyi maajabu huku Tz, zaidi ya kujenga nyumba za kawaida na kurudi na magari ya kutembelea pamoja na makontena yalio jaa house staff, ambavyo huwa mnaishia kuviuza pindi mnapo filia mkorejea Tz.....

Naomba kuwasilisha

Una point ya muhimu. Wapo waliopo Bongo wametoka na wanafanya vizuri zaidi ya waliopo nje.

Ila hizo nyumba ulizotaja, nagari ya kutembelea na hayo makontena ya vitu vya ndani ni kama raia wote wanaobaki Tanzania wanakuwa navyo.
 
Mleta maada ni moja wao. Itabidi asaidiwe pale atakapoleta uzi.

Akikujibu swali namba 4. Tutamwekewa

God save us
Mpaka naacha kazi Baic salary ilikuwa 1.5m, bado kulikuwa na allowance ya nyumba na usafiri pia nilikuwa na Safari za kikazi japo Ni NDOGO but zilinitosha kwa matumiz yangu kwa kipindi hicho so usifikir nilikuwa pimbi Kama unavyowaza
 
Una point ya muhimu. Wapo waliopo Bongo wametoka na wanafanya vizuri zaidi ya waliopo nje.

Ila hizo nyumba ulizotaja, nagari ya kutembelea na hayo makontena ya vitu vya ndani ni kama raia wote wanaobaki Tanzania wanakuwa navyo.
Vice versa is.... kwenda nje kwaajili ya kupata fursa is equal to time wasted big time, when you compare back to homies wanao baki Tz....
 
Kibanda cha nini Tanzania wakati mtu anakaa Marekani ama Ulaya? Kama ana pesa kwenye benki atanunua nyumba siku akiamua kurudi?

Mkuu nina ndugu zangu wengi wako majuu nchi tofauti wengine wana miaka zaidi ya 10 lakini hata vibanda hawana. Kunamda wanafika wananishawishi niende lakini nikiangalia maendelo yao kiuchumi nabaki kuwasikiliza tu.

God save us
 
Hahahaha sawa ila kipengele namba 4 Sina uzoefu nacho but kiukweli ukipata nafasi ya kuja huku kihalali lazma utoboe, labda uendekeze starehe za kupindukia
Usiwasikilize hao vichaa wa CCM kuzaliwa, kukulia Tanzania na kuwa nzi wa kijani wanajiona wametoboa sana. Tuelimishe sie wengine bado hatujatoboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In vice versa, kwenda nje kwaajili ya kupata fursa is equal to time wasted big time, when you compare back to homies wanao baki Tz....

Nadhani hapa tutumie somo la reasoning.

Binadamu ana miguu miwili.

Ushimen ni binadamu.

Ushimen anamiguu miwili.

Kama bongo kuna fursa nyingi mzee baba tuliobaki tungekuwa na maisha mazuri kuwazidi waliotoka.
 
Huyu mleta maada huenda hata kibanda hajajenga na huwa wajati mwingine wanaogopa kurudi huku.

Hawa wataishia kukusanya vimilioni viwili vitatu then wanakujua kutusumbua likizo huku baada ya miaka kadhaa.

Nisisahau kusema kuwa wengibwao huko wanaishi gheto. Chumba kimoja wako kama sita. Kazi kulala kwa zamu.

God save us
Wewe unawaongelea wahuni au wazee wa stallway, mleta mada anazungumzia wale waliokwenda kihalali sio hao wakukaa kundi ndani ya room moja kama wakomoro pale mtaa wa pangani Ilala.
 
Mkuu, naomba unipe mfano wa nchi mja pekee yenye unaamini inafursa ya kutoka/kufanikiwa kwa waTz...
Mkuu nitaleta kwenye uzi wa alhamisi mimi Bro wangu mkubwa Yuko hapa tangu 2000 na alichukuliwa baada ya kumaliza six ilboru, elimu zake za chuo zote kasomea huku na anafanya kazi huku, mjomba Yuko Canada. Haya ninayoyaeleza Nina uhakika nayo. Tatzo unareply bila hoja za msingi but unabase upande hasi bila kuweka mizani sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom