Niwafanye nini watu hawa?


Hujatuelewa hatujasema baba alichofanya ni sahihi tumesema binti hana haki ya kujifanya kakasirika sana kama vile baba kafanya usaliti...huu sio usaliti....huku ni kuteleza...na wa kumsema. Baba kwa kuteleza wapo but sio huyu binti
 

Umeandika vizuri sana, ila ushauri ulio malizia hapo chini ndio sijauelewa. Sasa aanze ku-monitor issues za baba na za house maid ili isaidie nini? Kwa upande wangu naona kama ni kujizidishia maumivu na pressure isiyo na sababu.
 
Hujatuelewa hatujasema baba alichofanya ni sahihi tumesema binti hana haki ya kujifanya kakasirika sana kama vile baba kafanya usaliti...huu sio usaliti....huku ni kuteleza...na wa kumsema. Baba kwa kuteleza wapo but sio huyu binti

Hajajifanya kukasirika ila amekasirika, na ana haki, hata mimi ningekasirika saaaaaaaaaaana, na kwa comment zenu nimeona kama mna sapoti huyo baba manake mmemwambia asimpangie baba yake mwanamke wa kuwa nae sijui anahitaji mtu kipindi cha hiki upweke sijui nini, sijaona mliposema baba yako kakosea
 

Ulitaka baba yako amgonge waziri ndio umuheshimu?...jua maza kashindwa kumridhisha dingi ww
 

Ukiendelea hivyo utajipa tabu sana. Wanasema 'a man got to do what a man got to do'. Hata mkikasirika haibadili kitu
 

ujue i dont get ur point ni nini hasa....sijakuomba comment wala like,wala sishabikii hiki kitendo,nnachokushangaa ni unavopanic na kujidai una machungu zaidi yangu...we vipiii,?nimeamua kusema wazi ndio mana mtoa mada is facing a similar situation i faced years back...and the steps i took, na madhara wanayoyasababisha kina baba wanao deal na mahousegal,..
Huo mfano wa nuhu hauendani hapa bible naijua vyemaaaa,Ibrahim kuzaa na mjakazi wake hagai unajua chanzo chake lakini au unaongea tuuu?z..sema lingine,my point was simple kwa mtoa mada umemkuta mzee wako hivo HUNA LA KUFANYA,kaa kimya fanya yako..ndo ushakuwa mkubwa ,handle it
 

Kwa hiyo ww unampangia baba yako mwanamke wa kumlala?...tatizo wanawake mnawadharau sana mabeki 3 mnaona kama sio watu.
 
 
Naww uhame kwenu ukaanze maisha.. hayo ndio madhara ya kuishi kwa wazazi mpk miaka 25 unaanza kuwapangia cha kufanya.Baba yako ana haki ya kufanya mapenzi na mtu anayetaka yeye
 
Nimeshakufahamu, za siku nyingi?

Pole sana, Wadau wamekushauri vizuri...... You was right getting angry but also wise at per. Kama ulioyasema ni kweli, nakupongeza namna ulivyomuuliza huyo maid, Angekua mdada mwingine angepanukisha usiku huo huo.

kwa sababu nina mijicho mikubwa, and they are NOT romantic ila tu ni jina walilokuwa wanapenda sana watu kunitania ili nikasirike
 
Kwa hiyo ww unampangia baba yako mwanamke wa kumlala?...tatizo wanawake mnawadharau sana mabeki 3 mnaona kama sio watu.

sijadharua mtu ili itifaki lazma izingatiwe, ikitokea mdogo wangu wa kiume au kaka yangu ame fall kwa msichana wetu wa kazi ntaona poa tu hata akitaka kumuoa amuoe tu haina shida, ila si baba yangu, basi bora hata huyo mfanyakazi mwenyewe awe mtu mzima atleast ingekuwa rahisi kumeza lakini sio kitoto kinatuita dada leo hii baba aamue kiwe ndo mama, na isitoshe sitegemei wanaume kuelewa nyinyi semeni mnachoweza isitoshe mnaongoza kwa kutembea na hao wasichana wa kazi na hata hao wasiotembea nao huwa wanawatamani wanabaki kula kwa macho so i dnt expect to hear anything different, hapa naongea na wanawake wenzangu
 

Mkuu hatuongei hivyo kwa kuwa ni Baba. Hata ukimfumania mama yako ni laana! Yani they are things you are not supposed to see. Na ukiona Ni kama umeona utupu wa mzazi wako, unachopaswa ni kugeuka na kumuomba Mungu kwa ajili yako na kwa ajili ya mzazi wako. Sio kwenda kuandamana, ni kukosa adabu. Wazazi ni wazazi tu and no matter what wanastahili heshima. Ndio maana hata kama wewe ni mwizi umekithiri bado mama yako atakulili si kwa sababu unastahili machozi yake ila kwa sababu ni mama yako. Wazazi wanaenda beyond haki kupigania watoto wao. Ndivyo Mungu alivyoumba ulimwengu.
Stay away from parents business man. hata wewe ulivyosema hivyo unajizolea laana tu Mkuu.
Ndo maana magonjwa kila kukicha mara dengue fever!
 
Hujatuelewa hatujasema baba alichofanya ni sahihi tumesema binti hana haki ya kujifanya kakasirika sana kama vile baba kafanya usaliti...huu sio usaliti....huku ni kuteleza...na wa kumsema. Baba kwa kuteleza wapo but sio huyu binti

Me sidhani ka "alijifanyisha" kukasirika baada ya kujua Wat z real goin on kat ya dad ake Na hako kagirl.... Lazma astuke Na apate hasira kwel coz ndio tulivyo bnadam..
Hata ngekuwa mm I wud hav reacted th same..... Coz inakuwa imetokea so fast, unxpected so reacting in such a way naona n kawaida sanaaa
 
...you're becoming stereotype!
 
Conciously!!!

 
take this romantic eyes ...
 
loh nashukuru walionielewa wamenielewa maana naona kuna watu mmeanza kuchangia bila hata kuangalia hizo comments za nyuma
hasira zangu hazina uhusiano wowote na wivu
pia sikuingia chumbani kwa baba yangu kuwa naenda kumfumania.
nilimsubiri huyo dada ametoka na then nilimfuata chumbani kwake kumuuliza alikuwa wap.
haya mambo kama hayajawahi kukutokea huwezi kuelewa
 

Kumuingiza marehem Mama yake hapo umekosea sana...
 


Udogo wa huyo binti unaujua??? We tulizana kama ulivyoshauriwa.

Hiviiii ungejisikiaje kama Baba yako angeonekana usiku barabarani anafukuzia changudoa? Muombee kwa Mungu Baba yako apate faraja wa moyo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…