Niwafanye nini hawa watu..?

Umejiandaaje kuwa mchepuko wa mume wa mtu?
 
Kuna tofauti kati ya Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.

Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
 
Kwa maelezo hapo wote mnamichepuko ndio mana unataka uache watoto
 
Mambwa naona yanatetea mbwa mwenzao.!!

Sikiliza top face, acha mpango wa kujitesa na kutesa watoto, sikiza USIONDOKE..
Inatakiwa umuonjeshe sumu aliyoitengeneza mwenyewe..!!

Kwa mlipofikia mumeo kavuka mstari, Anakupiga, anakutesa, anakusaliti, tendo hakupi kwa wakati na hakuheshimu..!!
Hapo tayari ndoa imekufa imebaki kwenye makaratasi tu!

Cha kufanya

Mtafute boss wake mtege mpaka aingie kwenye mfumo, anza kumpa kei kisha mvuruge avurugike..!! To mbwer kwa raha zako tena gugumia kwa utramu kabisaa..!!

Hapo sasa utalipa kisasi chako vizuriiii You know wara I mean 😹😹

Hao wapuuzi wataishi kama mashetani, unamwambia boss mmoja apangiwe Kagera mwingine Songwe halafu wewe unabaki hapo hapo kwa huyo boya kwenye nyumba yake ukiendelea kulea watoto wako kwa amani na utulivu huku ukila maisha na boss kubwaaa..!!
 
Unajua aje akusome mara tatu akuelewe. " Anaenda kuwa mchepuko kwa wenyewe ndoa zao"
Miaka 10 , pambania kombe , haujui hali ilivyo mbaya nje mtanange ni mkubwa kinoma utaenda chomwa visu na wanawake wengine wanaolinda ndoa zao. Pambania watoto wako , endelea kujipa furaha , make sure unakua rich mother , huyo mwanaume usimu entertain, make sure unamtumia na mwili wake utoe uchovu na hasira mtumie kama chombo Cha starehe, ukiwa nje unaweza kata hata miezi 6 huna wakuhudumia mwili wako, watu wako busy na wake zao....mh siwezi maliza kuandika ila wanaume by nature ni Malaya ... Hawawezi kaa na mwanamke mmoja , nakushauri uzingatie tu afya haayo mengine dada huko nje unaweza enda ukasema Kuna nafuu unakutana na mwengine ana mke na michepuko , unaenda Kua kundi la mirupo. Oi ndoa ni ya wendawazimu. Haujui tu
 
😁😁😃😃😃😃 Dah nimecheka kwa huzuni!!
Hii Yako ni kubwa sana aseee ..hivi unawajua hao mambwa vizuri
.
Kwanza alivyo na wivu! ..NITAGEUZIWA KIBAO KUWA Mimi NDIYE Malaya mkuu na aibu itakua juu yangu.. alafu wengine uongo hatuwezi NITADAKWA MCHANA KWEUPE! 😂😂
 
Inawezekana hata huko nyuma alikua mchepukaji mzuri tu sema sikumzingatia!! Usimtetee bana

Kuna muda mapenzi hayalazimishwi .. mwanamke mwenye watoto 3 Huwa haondoki kwake bila sababu boss wangu .

Vipi nimkamate nimpe mingumi??😁😃
 
Na unapataje ujasiri wa kumpiga na kumfungia nje mkeo mwenye mtoto mdogo huku mtoto wako akiwa ndani??. Hiki kitendo alichofanya mume wa mtoa mada sio upunguani ee??
Yaani ..ukichaa nahisi!!
 
Sawa ila hapo mwisho hapo
Akiba kutoka PESA zipi?
 
Alikijibu? Na je ulimshauri?
 
Wewe nenda tu utatamani kurudi ila utashindwa.

Mwenzako anayo experience ya muda mrefu wakati wewe unayo ya muda mfupi.... Hicho kibwana kipya kitaku....

Umejiandaaje kuwa mchepuko wa mume wa mtu?
Why mchepuko ..mchepuko.. hivi ukiwa nje ya mfumo ni lazima uchepuke? Kwani lazima kuwa na mwanaume? Hii legacy imekaaje hii ...
 
Kama kweli unampenda,utamlinda.Wote waliofanya maamuzi kama unayotakankufanya waliishia kujuta.Unachotakiwa ni kutumia huo ushahidi wako kuwaita hao mashahidi wa ndoa yenu,huyo mchepuko na mumeo uwasanue live .Atajirudi na maisha yataendelea.Acha tamaa ya fedha,kuchepuka tuu ndo umkimbie mumeo! Acha mambo hayo wee dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…