Love is blind if you let it blind you!
Ndio mama, yataka moyo wa paka eti?
Teh teh teh
Hahahaaaa!! Pinduaneni tuuu, nanyi mtapinduliwa.
Anaogopa nini sijui!
Usikohoe, tulia na mmoja!
Mmmh! Kuna kitu kama nakigundua hivii, haya majibu yako humu yananipa maswali, sumbai niruhusu niulize.
Love is unconditional reflex, once it tackles you, you can't control the situation. You find yourself you want nothing other than love.
kwako sawa tu. hamna namna
Wapo wamaokubali haswa kama wanalelewa au wamapata manufaa yao toka kwa mwanamke wananyamaza ka vile hawaoni.
Wengine uwatumia wanawake kuwaletea pesa kwa kufanya mambo na wengine
Kila kitu kinawezekana duniani.
ndio ila nitafurahi kama angekuwa wangu tu.Uh! We si umesema upo tayari kushare?
Sababu ya kuwa nae ilihali wajua ana wengine ilikuwa nn? Au pesa?