Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Na hata leo ukinipa nakula tu, sasa ntafanyaje...

Hahahaaaaa!! Ila si nikikutana na wewe nakuwa single kwa wakati huo until further notice.
 

Una-share tu kama mwanadada anaangaishwa na aliyenaye na kuhitaji tulizo la moyo. Pia kuna wadada hapati amani bila kupata ile roho inapenda hata kama ana wa kwake, hivyo akitokea wa hivyo kuku-approach basi unamsaidia tu.

Angalia mambo yaliyokuzunguka hayafanani hata kama yako kwenye category moja - mfano, magari, nyumba, n.k.
 

Teh teh....
Shemeji
 

Kama unahangaishwa na uliyenae si unajitoa tu, ukichepuka ndio suluhu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…