Cku iz kila dem anakwambia ana m2 wake so ukitaka mpaka uckie neno niko single mh cjui ln..af k2 kingine ni kwamba m2 ukishampenda ata akisema ameolewa km co mwoga wa kufumaniwa utaendelea kulazmisha mpaka akubali ili moyo wako ulidhike na utofaut unakuwepo coz we pale c unaiba..ndo mana unakua tayar kua spea tair lakn km ndo ww huwez kukubal m2 akuibie ndo mana unamkuta m2 anatembea na bastola kiunon..kwanza unahis jamaa anamfaid mkeo pili unahis unaweza ukawa ndo mwanzo wa mkeo kuchukuliwa jumla tatu inakua ni sign ya kwamba humridhishi either huduma za kijamii au sex..ndo mana yule anaeshare kwa kuchukuliwa mpenz wake na m2 mwingine anachukiaaa..bora ww ndo ukaibe ndomana wauni wanakwambia mke wa m2 ananoga..umeona mfano wake huo
Hawa ni waarabu wa pemba, Hata yule ni wa kuombea, nae ana pepo la michepuko, kwahiyo itabidi tufunge kwaajili yao wote.
Ndio nataka nijue wale wanaume ambao huwa wanakubali kushare sababu kuu haswa huwa ni nini??
Cku iz kila dem anakwambia ana m2 wake so ukitaka mpaka uckie neno niko single mh cjui ln..af k2 kingine ni kwamba m2 ukishampenda ata akisema ameolewa km co mwoga wa kufumaniwa utaendelea kulazmisha mpaka akubali ili moyo wako ulidhike na utofaut unakuwepo coz we pale c unaiba..ndo mana unakua tayar kua spea tair lakn km ndo ww huwez kukubal m2 akuibie ndo mana unamkuta m2 anatembea na bastola kiunon..kwanza unahis jamaa anamfaid mkeo pili unahis unaweza ukawa ndo mwanzo wa mkeo kuchukuliwa jumla tatu inakua ni sign ya kwamba humridhishi either huduma za kijamii au sex..ndo mana yule anaeshare kwa kuchukuliwa mpenz wake na m2 mwingine anachukiaaa..bora ww ndo ukaibe ndomana wauni wanakwambia mke wa m2 ananoga..umeona mfano wake huo
Uwiiiii lowasa kasingiziwaa? Mimi nina furaha LVG Kamfunga kale kazee cha arse8 goli tatu kavuu muulize hata sumbai.
Chezea red devil wew na kwenye msimamo wa ligi ss ndio tunaongoza muulize hata everlenk na Th Name...
ONYO..."
Wew uliyesoma hapa unajihisi unajua kuliko mimi ni kwamba hii koment haikuhusu .na najua nilicho andika so tambaa na mia sitaki mapovu.. atoto nilikuwa natoa onyo maana kuna mijitu miparamiaji huku itaanza mapovu
Kuna mademu wengine wakali kinoma,Nakumbuka nilikuwa namshikaji mmoja hivi kila akimla demu wake anakuja kwangu kujisifia kuwa demu wake anajua mambo sana.So mshikaji kujisifu kukawa kumezidi saaaana nikasema ngoja nione mshikaji anafaudu nini.Ikabidi nianze utani wakijingajinga kwa uyo demu,Akaingia kumi nane zangu mara akaanza kuniita husband,Tukawa tunachat text kama mtu na mtu wake kumbe ni mtu na shemeji yake.Dem akaanza kuwa ananitumia vidio za porn night ikanibid nimuombe gem akakubali nikawa napiga gem saana.Kweli dem alikuwa anajua mambo kweli kweli,Sasa tatizo likaja demu anataka kumuacha mshikaji wake kisa mie na ananishauli mie nimuache manzi wangu.Nilikataa kwa sababu nampenda dem wangu lakini nilitaka nijue yaliyomo yamo kweli nikakuta yamo.Kwa hiyo ndo ivo nilikubali kushere kiivyo lakini sikuwa nampenda manzi ndo maana nilikubali kushere.Kwanini uibe wakati waweza pata wako peke yako?
Kwanini uibe wakati waweza pata wako peke yako?
atoto majibu ya reseach yako umeshayapata...We katoto skiliza wakwako peke yako uwez kupata coz kila girl anasema ana m2 kipind unatongoza...hii dunia cjui imekuaje japokua waschana wanachukua robo mbili na nusu kwa wingi lakin cha ajabu kila girl ana m2 wake..asa man unajikuta peke yako ndo uko single..utafanyaje itabid ujitose ata akisema mi nna waume wawili wote wamenioa na we unafoce uwe wa tatu hahahahaaaaa.
Kuna mademu wengine wakali kinoma,Nakumbuka nilikuwa namshikaji mmoja hivi kila akimla demu wake anakuja kwangu kujisifia kuwa demu wake anajua mambo sana.So mshikaji kujisifu kukawa kumezidi saaaana nikasema ngoja nione mshikaji anafaudu nini.Ikabidi nianze utani wakijingajinga kwa uyo demu,Akaingia kumi nane zangu mara akaanza kuniita husband,Tukawa tunachat text kama mtu na mtu wake kumbe ni mtu na shemeji yake.Dem akaanza kuwa ananitumia vidio za porn night ikanibid nimuombe gem akakubali nikawa napiga gem saana.Kweli dem alikuwa anajua mambo kweli kweli,Sasa tatizo likaja demu anataka kumuacha mshikaji wake kisa mie na ananishauli mie nimuache manzi wangu.Nilikataa kwa sababu nampenda dem wangu lakini nilitaka nijue yaliyomo yamo kweli nikakuta yamo.Kwa hiyo ndo ivo nilikubali kushere kiivyo lakini sikuwa nampenda manzi ndo maana nilikubali kushere.
Na hata leo ukinipa nakula tu, sasa ntafanyaje...Mbona kwangu uliweza ex darling?