Huwezi kuvumilia kama huna pa kuponea..unaanzaje kuvumilia we umelala peke yako mwenzio anapata faraja kwingine? Mnaovumilia hayo hata motoni mtaweza kuishi..teh teh
Teh teh teh! Kwani wakati unakubali kushare hukuwa na moyo?
Sio kwa wenye ndoa, haivumiliki mamii...
Ukipenda unavumilia, kuna wanawake ving'an'ganizi mnoo...anasema hata tuwe kumi, ila lazima uwe wangu
Ni ujinga na kutojiamini,mwanaume gani usiyekuwa na wivu..eti unashea,kweli.... mi siwezi hata kwa dawa.Unashindwa kuwa na empaya yako,kinachoweza kukutokea ni kupigwa makofi na wanaume ambao unashea nao pale watakapogundua.
Hahaa..Mnawapaga vinini hadi kuwaganda hivyo?
atoto mimi nakwambia wewe hujawah patwa na ule mzimu wa kupenda na kuapa liwalo na liwe..unakuta mtoto wa kike anakwambia hata kama unamwingine namimi nataka tuu unipe nafasi japo kidogo tuu....
Huyajui haya mambo atoto usiombe yakupatee
Ni ujinga na kutojiamini,mwanaume gani usiyekuwa na wivu..eti unashea,kweli.... mi siwezi hata kwa dawa.Unashindwa kuwa na empaya yako,kinachoweza kukutokea ni kupigwa makofi na wanaume ambao unashea nao pale watakapogundua.
Sio kwa wenye ndoa, haivumiliki mamii...
Ukipenda unavumilia, kuna wanawake ving'an'ganizi mnoo...anasema hata tuwe kumi, ila lazima uwe wangu
Nakutana na hayo sanaaaa!! Ila namuelewesha tu kuwa am occupied siwezi kuwa nae fullstop, na simpi nafasi ya matumaini yoyote, ndio ataumia ila atapona with time, sasa kila atakayekuja kunipigia magoti nimkubalie nitakuwa na wangapi and for what!!!
Hiyo nafasi kidogo tuuu ndio nafasi gani labda, unampa ukweli mtu anasepa, kuwa king'ang'anizi ni kwakuwa unampa loopehole ya kuona atakupata tu.
Khaaaaah!! Yaani hapo mwanamke ndio anakuwa kakutongoza?? Daaah una watu wana ujasiri!! Kwahiyo kila atakayekuganda unampa nafasi?
Teh teh unampa kwa huruma, na unajua wana wake ni dhaifu some time wanatoa kwa huruma...