hayo yote nayatambua sana. sometimes una change mawazo baada ya kutafakari kwa kina.Dogo mbona muoga? We si ulishasema uko tayari kushare? Why uogope matokeo ya hiyo sharing, unapoamua kufanya maamuzi lazima uwe responsible na concequences za maamuzi yako, yawe mazuri au mabaya.
https://www.youtube.com/watch?v=oZIW0XD6_vE
Nimeusikiliza kwa kweli ni ngumu kumeza. Kuna mazingira mengine wanaume wanakubali kushare kama wakiwa hawana future na wale wapenzi bali wanataka tu kutimiza matamanio ya kingono
Pacha we unaweza? Kushare ilihali wajua kabisa unashare?
Ndo ww nn x wang wa juz maaana ulichonifanyia nn. Mhh
Kwa kweli siwezi..hata nikikupenda siwezi tu Ku handle that situation. Eti kwamba unaenda kwa fulan..au napiga unanikatia ndo upo na fulani..hapana.
Labda kama upo kimaslahi kwakweli, ila kwa case ya love napinga kwakweli, hayo sio mapenzi ni uwendawazimu.
Money changes people ypu never know, ila daaah yataka moyo wa paka.
Pacha watu wanashea tu wanajua kabisa,yanatokea.
Katika kutimiza hizo haja za ngono mwakumbuka kinga? Au ndio ajali kazini?
Tunavumiliaa tuuu...
Kwa kweli siwezi..hata nikikupenda siwezi tu Ku handle that situation. Eti kwamba unaenda kwa fulan..au napiga unanikatia ndo upo na fulani..hapana.
Daaah pacha kumbe umebadili avater! Hadi nikakusahau
Hiyo roho inipite mbaaaaali, sitaki stress za kujitakia mie.
Hujapenda wewe....hujapenda aliyekuwa occupied....nakuhurumia siku ukigundua mpo wawili...
atoto mimi nakwambia wewe hujawah patwa na ule mzimu wa kupenda na kuapa liwalo na liwe..unakuta mtoto wa kike anakwambia hata kama unamwingine namimi nataka tuu unipe nafasi japo kidogo tuu....Labda kama upo kimaslahi kwakweli, ila kwa case ya love napinga kwakweli, hayo sio mapenzi ni uwendawazimu.