Niulize swali lolote kuhusu Wilaya ya Kilombero

Mkuu samahani, naomba hili jibu kwanza kabla ya mengine.

Ukiwa unaenda kilombero(Mimi niliishi ifakara) njiani kuna sehemu Ukipita tuu daraja flani kubwa unaacha rasmi lami unaingia barabara ya vumbi, ile sehemu inaitwaje na daraja nalo linaitwaje?

Yeyote anaweza kunijibu hili..
Nahitaji hili jibu serious.
Kama unaelekea K1 au

ova
 
Wakuu, mwenye kutaka kujua lolote/chochote kuhusu Wilaya ya Kilombero iliyopo mkoani Morogoro, aulize nitamjibu. Iwe ni fursa za kibiashara, kilimo, siasa nakadharika.... !
Karibuni kwa maswali,
Karibuni Kilombero.
Wenu Mvidunda.
Hivi kidodi bado kun uporaji
Mambo ya kuwekeana magogo

Ova
 
Hivi kidodi bado kun uporaji
Mambo ya kuwekeana magogo

Ova
Nitalijibu swali hili japo lipo nje ya eneo nilotaka kuulizwa kwalo. Kidodi ni wilaya ya Kilosa sio Kilombero. Hali ya usalama ni nzuri mno na hakuna matukio ya ujambazi/uporaji yanayoripotia. Kamanda wetu Mutafungwa (RPC) ameufanya mkoa wa Morogoro kuwa mahali salama mno pa kuishi.
 
Nini asili ya jina Kilombero
Huyu mleta mada anajiita mvidunda kiasili ni mtani wangu huyu, hili kabila moja dogo sana liliopo mkoa WA morogoro wilaya ya kilosa, sehemu inayoitwa kidodi, hawa wanaa mlimani hukoo na shughuli yao kubwa NI kilimo cha maharage niliwai kwenda kwa hawa jamaa huko kwa wavidunda aiseee yaani unakwenda kwa miguu unapandisha milima mpaka unaomba po, hajui vizuli wilaya ya kilombore huyu maana yeye asili yake kilosa, jamani. Kumbukeni huyu mtani wangu sasa ww ukiarib simoooooo,
Asili ya jina la kilombero limetokana na mto kilombero ambao mto huo umetenganisha wilaya ya kilombero mahenge ,watu WA kilombelo wanategemea kilimo hasa cha mpunga kwa ajili ya chakula na biashara japo kwa sasa kuna kilimo cha miwa lkn wanaolima miwa NI watu wachache sanaaa , ukiawa mgeni kuhusu kununua mpunga kwa ajili ya biashara NI changamoto kubwa sana kwa maana mpunga unaweza kuwa mmbovu kwa kuchelewa kuvunwa au ulianguka ktk maji wakati ushakomaaa hii hupelekea mchela kuwa mbaya sasa kama mgeni na mpunga huwezi kuyajua haya utauziwa mpunga mmbovu na mwisho WA cku utazika mtaji wako, kuhusu miwa nayo ina changamoto sana hakuna biashara ambayo haina hasara, unaweza ukalima miwa na mwisho wa cku usivunjwe kutokana na mazingira Fulani Sasa miwa isipovunjwa unatakiwa ww mwenye Shamba uifyeke ili mvua ikinyesha ipate kuchipua tena maaana miwa iliolalia shamba kiwandani haitakiwi,
Shamba linaweza kuungua kabla ya muda hiyo kwko pia NI changamoto nk ,,
Kuhusu kulima mpunga nenda mapema kuanzia mwezi WA 8 ukodi Shamba urubili msimu WA kilimo ujumuike na wana Zengo, ,mwenye swali akuje tafadhali
 
Ni kweli wanawake wa huko hawana utaratibu wa kua na mume mmoja kwa kauli mbiu yao ya chungu hakienei kwa figa moja , na huwezi kubeba dumu ama ndoo ya maji bila ya kidumu?
Kama hujaoa na unataka kupata mke mwema kwa maisha yako yalobaki hapa Duniani, njoo uoe Kilombero. Mengi utayafaidi zaidi utafaidi mapishi ya wali ambayo huwezi kupata mahali pengine nchini.
 
Bila shaka, utakuwa Lijualikali wewe.
Wakuu, mwenye kutaka kujua lolote/chochote kuhusu Wilaya ya Kilombero iliyopo mkoani Morogoro, aulize nitamjibu. Iwe ni fursa za kibiashara, kilimo, siasa nakadharika.... !
Karibuni kwa maswali,
Karibuni Kilombero.
Wenu Mvidunda.
 
Huyu mleta mada anajiita mvidunda kiasili ni mtani wangu huyu, hili kabila moja dogo sana liliopo mkoa WA morogoro wilaya ya kilosa, sehemu inayoitwa kidodi, hawa wanaa mlimani hukoo na shughuli yao kubwa NI kilimo cha maharage niliwai kwenda kwa hawa jamaa huko kwa wavidunda aiseee yaani unakwenda kwa miguu unapandisha milima mpaka unaomba po, hajui vizuli wilaya ya kilombore huyu maana yeye asili yake kilosa, jamani. Kumbukeni huyu mtani wangu sasa ww ukiarib simoooooo,
Asili ya jina la kilombero limetokana na mto kilombero ambao mto huo umetenganisha wilaya ya kilombero mahenge ,watu WA kilombelo wanategemea kilimo hasa cha mpunga kwa ajili ya chakula na biashara japo kwa sasa kuna kilimo cha miwa lkn wanaolima miwa NI watu wachache sanaaa , ukiawa mgeni kuhusu kununua mpunga kwa ajili ya biashara NI changamoto kubwa sana kwa maana mpunga unaweza kuwa mmbovu kwa kuchelewa kuvunwa au ulianguka ktk maji wakati ushakomaaa hii hupelekea mchela kuwa mbaya sasa kama mgeni na mpunga huwezi kuyajua haya utauziwa mpunga mmbovu na mwisho WA cku utazika mtaji wako, kuhusu miwa nayo ina changamoto sana hakuna biashara ambayo haina hasara, unaweza ukalima miwa na mwisho wa cku usivunjwe kutokana na mazingira Fulani Sasa miwa isipovunjwa unatakiwa ww mwenye Shamba uifyeke ili mvua ikinyesha ipate kuchipua tena maaana miwa iliolalia shamba kiwandani haitakiwi,
Shamba linaweza kuungua kabla ya muda hiyo kwko pia NI changamoto nk ,,
Kuhusu kulima mpunga nenda mapema kuanzia mwezi WA 8 ukodi Shamba urubili msimu WA kilimo ujumuike na wana Zengo, ,mwenye swali akuje tafadhali
Bora umemsaidia mtani wako
 
Mtani ni kweli Mimi ninatoka kabila dogo sana lililo sheheni watu werevu la wavidunda linalopatika Kidodi wilayani Kilosa. Nimezaliwa na kukulia wilayani Kilombero. Ni wilaya ninayoifahamu kuliko wilaya yoyote hapa nchini. Maelezo yako yanaukaribia ukweli japo umeelezea changamoto tu pasipo kugusia mafanikio ambayo ndiyo kitovu cha maendeleo ya Kilombero na watu wake.
 
Wakuu, mwenye kutaka kujua lolote/chochote kuhusu Wilaya ya Kilombero iliyopo mkoani Morogoro, aulize nitamjibu. Iwe ni fursa za kibiashara, kilimo, siasa nakadharika.... !
Karibuni kwa maswali,
Karibuni Kilombero.
Wenu Mvidunda.

Ewe Mvidunda, utadunda kwenye hili swali; je "Mbero" ni ngapi??
 
Maliasili unaamaanisha geti la maliasili, Geti lipo hatua hatua chache baada ya kuvuka daraja ukitokea Moro. Ni kijiji cha Mkamba Tarafa Kidatu.
Mkuu asante sanaa...

Ujue kwa nini nimetaka kujua hili eneo?
SITOKUJA KULISAHAU.

Kuna siku Usiku saa tano hivi natoka Dar naenda ifakara..

Nimenunua zangu Nyama choma, bites na Maji, nikasema nitakula baadae nikihisi njaaa, nikalala.

Sasa Nikiwa nimekaribia daraja(mimi sikujua kama ndio nakaribia darajani mana ni usiku wala kujua ukivuka ni vumbi) nikasema nile maana njaa imenikaza hatari.

Ile namaliza tuu kufungua ule mfuko wa bites, Nilikutana na mtikisiko si wa kitoto, Kwanza nilirushwa juu usawa wa roof, nikamuuliza jirani yangu huko nje vipi? akaniambia ndio tumeanza mashimoo..

Aloo zile bites zote ziliishia chini, ukifanikiwa kuiweka mdomoni inshu ipo kwenye kuimeza, Maji ndio kabisaaa niliishia kujilowanishaa...

Sikula hata punje wala kunywa hata tone, Tulifika ifakara usiku kama saa 7 hivi, kule kurushwa, safari na njaa ya siku nzima na zaidi, Nikawa nimelegea sijitambui, yule jirani ndio akapiga simu nikaja kuchukuliwa kituoni.

Kuanzia pale lile eneo silisahau Ndio maana nikawa na shauku ya kulijua...

Asante kwa kunikumbasha Mbaya wangu.
 
Swali zuri sana
Ukiacha Ifakara, kuna miji/senta gani nyingine zinafaa kwa wapambambanaji?

Ungekuwa wewe na una mtaji, na ni mgeni hapo kilombero na unataka kufanya biashara ya mpunga, ungelima au ungenunua na kuuza?

Tuanze na hayo kwanza
 
Wakuu, mwenye kutaka kujua lolote/chochote kuhusu Wilaya ya Kilombero iliyopo mkoani Morogoro, aulize nitamjibu. Iwe ni fursa za kibiashara, kilimo, siasa nakadharika.... !
Karibuni kwa maswali,
Karibuni Kilombero.
Wenu Mvidunda.
Mazao gani hasa yanalimwa wilaya ya kilombero ukitoa sukari
 
Mkuu asante sanaa...

Ujue kwa nini nimetaka kujua hili eneo?
SITOKUJA KULISAHAU.

Kuna siku Usiku saa tano hivi natoka Dar naenda ifakara..

Nimenunua zangu Nyama choma, bites na Maji, nikasema nitakula baadae nikihisi njaaa, nikalala.

Sasa Nikiwa nimekaribia daraja(mimi sikujua kama ndio nakaribia darajani mana ni usiku wala kujua ukivuka ni vumbi) nikasema nile maana njaa imenikaza hatari.

Ile namaliza tuu kufungua ule mfuko wa bites, Nilikutana na mtikisiko si wa kitoto, Kwanza nilirushwa juu usawa wa roof, nikamuuliza jirani yangu huko nje vipi? akaniambia ndio tumeanza mashimoo..

Aloo zile bites zote ziliishia chini, ukifanikiwa kuiweka mdomoni inshu ipo kwenye kuimeza, Maji ndio kabisaaa niliishia kujilowanishaa...

Sikula hata punje wala kunywa hata tone, Tulifika ifakara usiku kama saa 7 hivi, kule kurushwa, safari na njaa ya siku nzima na zaidi, Nikawa nimelegea sijitambui, yule jirani ndio akapiga simu nikaja kuchukuliwa kituoni.

Kuanzia pale lile eneo silisahau Ndio maana nikawa na shauku ya kulijua...

Asante kwa kunikumbasha Mbaya wangu.
Ni kweli , Kipande cha barabara Kidatu Ifakara Km 61 ni kipande korofi chenye adha nyingi kwa wasafiri na wasafirishaji. Asante Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Rais John Magufuli, punde adha ile itakuwa historia. Mkandarasi yupo site na kasi ya Ujenzi inaridhisha. Ni Ujenzi wa kiwango cha lami. Ukija mwakani utastareheka mpaka Lifuakara/tamka Ifakara.
 
Kuna member amejibu swali lako. Ushauri jitahidi kuuliza maswali ambayo majibu yake yanaweza kuwa na tija kwako na kwa members wengine. Ukijuaa asili ya jina Kilombero inakusaidiaje. Acha uchadema.

hekari 3000 za kulima mpunga zinapatikana?
 
Back
Top Bottom