Niulize swali lolote kuhusu Wilaya ya Kilombero

Mazao gani hasa yanalimwa wilaya ya kilombero ukitoa sukari
Sukali hailimwi,inalinwa miwa ndio inalimwa na baadae huvunjwa na kupelekwa kiwandani ndio huzalishwa sukali,
Ukiachana na miwa kule kilimo kingine ni mpunga ambao ni zao la biashara na chakula,lkn pia watu WA kule wanalima ndizi ,mihogo nk,kuna sehemu inaitwa mbigu huko wanalima sana ndizi na mahindi
 
Ahsante Kwa majibu yako. Ekari ya mpunga Kwa ifakara unaweza kutoa gunia ngapi
 
Swali zuri sana
Ukiacha ifakara kuna sehemu inaitwa mang'ula kilometa 55 kabla hujafika ifakara hapa papo vizuli kiasi ,lkn kuna sehemu inatwa lupilo japo haipo kilombero ipo ktk wilaya ya mahenge lkn ni Karibu kabisaa na kilombero pale pia kama mpambanaji unaweza kutoboa ,
Inatagemea na mtaji ulionao kama umechabgamka mtaji wako unaweza fungua MASHINE ya kukoboa mpunga na ukawa na stoo watu wanahifadhi mpunga baada ya kuvuna kisha wanakoboa ,unapata pesa ya kuhifadhia mpunga lkn pia unapara pesa pindi akapokoboa huo mpunga wake,lkn pia unaweza ukanunua trekta na ukawa unalima mashamba yko na ya watu wengine ,
 
Nina mpango wa kuhamia ifakara . Je nauli ya kutoka ifakara mpaka Morogoro ni shillings ngapi
 
Ahsante Kwa majibu yako. Ekari ya mpunga Kwa ifakara unaweza kutoa gunia ngapi
Unajua kilimo cha kule kinategemea mvua sio umwagiliaji lkn pia kuna aina 3 za ulimaji mpunga,unaweza kumwaga mbegu Shamba,unaweza kupata punje au unaweza kupanda mche na kila kilimo kina bei yake ,kilimo rahisi ni kumwaga mbegu na kipato chake kidogo pia ,kilimo kinachofuata ni kupanda punje gharama inaongozeka na kipato huongezeka pia ,kilimo chenye gharama kubwa cha kupanda mche hiki nikagharama kubwa na kipato chake pia ni kikubwa pia, hakuna kiwango maalum cha kipato zaidi ya ubora WA Shamba ,jinsi ulivyohudumia na hali ya mvua ya mwaka huo maaaana mpunga hustawi zaid kwenye maji kiasi kwa hiyo mpunga huitaji mvua maana mpunga unaweza ukawa ktk maji toka ukiwa usawa wa futi moja mpaka unavunwa na usidhulike ili mladi usizame ktk maji
 
Daraja linaitwa Ruaha(Tanesco), na kijiji kinachofata kinaitwa Mkamba mkuu
Mkuu samahani, naomba hili jibu kwanza kabla ya mengine.

Ukiwa unaenda kilombero(Mimi niliishi ifakara) njiani kuna sehemu Ukipita tuu daraja flani kubwa unaacha rasmi lami unaingia barabara ya vumbi, ile sehemu inaitwaje na daraja nalo linaitwaje?

Yeyote anaweza kunijibu hili..
Nahitaji hili jibu serious.
 
nakufagilia sana huko kwa mapande ya kuku na ndizi pia mazao ya chukula ni ya kutosha ...ilaa sasa lilinishinda fukuto..joto la maana niliishi hapo udizungwa
 
Sawa Mvidunda, Mimi ni mpogoro mzaliwa wa wilaya ya Kilombero. Japokuwa harakati za maisha zimefanya niwe mbali nako. Naipenda Kilombero
Mtani ni kweli Mimi ninatoka kabila dogo sana lililo sheheni watu werevu la wavidunda linalopatika Kidodi wilayani Kilosa. Nimezaliwa na kukulia wilayani Kilombero. Ni wilaya ninayoifahamu kuliko wilaya yoyote hapa nchini. Maelezo yako yanaukaribia ukweli japo umeelezea changamoto tu pasipo kugusia mafanikio ambayo ndiyo kitovu cha maendeleo ya Kilombero na watu wake.
 
Mazao gani hasa yanalimwa wilaya ya kilombero ukitoa sukari
Kilombero ni bonde lililo barikiwa na Muumba. Mazao kama mpunga, mahindi, migomba/ndizi , alizeti, mihogo, ufuta, viazi vitamu , nyanya maji na aina nyingi za mboga mboga na matunda yanastawishwa wilayani hapa. Pia maeneo kama Mbingu Cocoa inastawi vizuri.
 
Ukiacha ifakara kuna sehemu inaitwa mang'ula kilometa 55 kabla hujafika ifakara hapa papo vizuli kiasi ,lkn kuna sehemu inatwa lupilo japo haipo kilombero ipo ktk wilaya ya mahenge lkn ni Karibu kabisaa na kilombero pale pia kama mpambanaji unaweza kutoboa ,
Inatagemea na mtaji ulionao kama umechabgamka mtaji wako unaweza fungua MASHINE ya kukoboa mpunga na ukawa na stoo watu wanahifadhi mpunga baada ya kuvuna kisha wanakoboa ,unapata pesa ya kuhifadhia mpunga lkn pia unapara pesa pindi akapokoboa huo mpunga wake,lkn pia unaweza ukanunua trekta na ukawa unalima mashamba yko na ya watu wengine ,
Kwa kuongezea Wilaya ya Kilombero inakwenda mpaka Mlimba mpaka Masagati. Centers nzuri za kibiashara ni Mang'ula Mwanya, Kiberege, Mbingu, Chita, Mngeta na Mlimba yenyewe.
 
Ni kweli , Kipande cha barabara Kidatu Ifakara Km 61 ni kipande korofi chenye adha nyingi kwa wasafiri na wasafirishaji. Asante Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Rais John Magufuli, punde adha ile itakuwa historia. Mkandarasi yupo site na kasi ya Ujenzi inaridhisha. Ni Ujenzi wa kiwango cha lami. Ukija mwakani utastareheka mpaka Lifuakara/tamka Ifakara.
Daraja linaitwa Ruaha(Tanesco), na kijiji kinachofata kinaitwa Mkamba mkuu
Asanteni sanaaa...
Na ukienda mbele sana kuna sehemu unakuta lami tena kipande kama klm 10 hivi kama sikosei, ni wapi?
 
Nitalijibu swali hili japo lipo nje ya eneo nilotaka kuulizwa kwalo. Kidodi ni wilaya ya Kilosa sio Kilombero. Hali ya usalama ni nzuri mno na hakuna matukio ya ujambazi/uporaji yanayoripotia. Kamanda wetu Mutafungwa (RPC) ameufanya mkoa wa Morogoro kuwa mahali salama mno pa kuishi.
Ok basi nimejichanganya
Nlibahatika kuzuru hapo k2 Kuna chuo kilianzishwa zamani Enzi za nyerere NSU national sugar Institute ila nlikuta hakifanyi Kazi ila nilichogungua yah kuwa zamani tulikuwa na mipango mizuri sana
Sema tulishindwa kuiendeleza
Any way kilombero nilipapenda pamechangamka fursa kibao zipo

Ova
 
Back
Top Bottom