wewe wasema, sina kosa lolote so ban itoke wapi
we bwana mimi ni ME
hahahaha. Una matatizo wewe. Si bure. Avatar, Jina, Threads, typing style vyote vya kike. Au una maungo yote?
Narudia tena mimi ni ME, Nicas ujue nakuheshimu sana, tenaa wewe ni rafiki yangu facebook.... may be nina hormone za kike lakini mimi ni ME tena rijali
hahahahaha. Kongosho amewah kuweka thread kama hzo zako?
Nicas Mtei inatosha bwana, nishasema hizo zilikuwa mada tu lakini ukweli mimi ni ME, mbona huwa hamumuandami kongosho kama mnavyofanya kwangu???
Kongosho namjua ni mwanamke bhana kama hautaki unaacha ila sidhani kama unafanya poa. Huwa tunataka kujua jinsia ili kuondoa utata wa kujibu status sasa kama unabadilika badilika sidhani kama unatufaa...
Copy: Nicas Mtei

Copy😡nicas mtei
we bwana mimi ni ME
Usiongee kwa ukali hivyo kaka/dada, hufananii na kuwa mkali, unajua maisha ni kuelezana kwa utaratibu na sio kugomba
duuh kadri Nicas Mtei anavyoweka thread zako nazidi kuudhika na kukuchukia kwa kua unatuona sie watoto....
Nisamehe kwa kukuchukia..,
Narudia tena mimi ni ME, Nicas ujue nakuheshimu sana, tenaa wewe ni rafiki yangu facebook.... may be nina hormone za kike lakini mimi ni ME tena rijali
anakuja hvyo ili apate mdada. May be ni lesbio
Mhh huu mjadala wa jinsia yangu umekuwa kama ule wa zanzibar ni nchi au sio nchi, basi bwana leo nawadhihirishia kwamba mimi ni ME... msiwe na wasiwasi