Baba Nla
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 780
- 2,539
Kwan mRDT inachoraga vimistari vingapi?hapana mkuu, MRDt inaripotiwa katika mfumo wa POSITIVE na NEGATIVE...
Kwan mRDT inachoraga vimistari vingapi?hapana mkuu, MRDt inaripotiwa katika mfumo wa POSITIVE na NEGATIVE...
Mi nakijua hiki, kina C, 1 & 2 ambapo kuna baadhi ya maeneo mtu anaweza akapimwa na vikaja vimistari vyote vitatuhapana mkuu, MRDt inaripotiwa katika mfumo wa POSITIVE na NEGATIVE...
Ok, malaria mbaya/hatari ni ipi sasa kwa maana ya ukubwa wa namba ni ile ya 1,2,3.., au ile inayoanzia 100+?mkuu naomba nikukosoe hapo sio "dhana" bali ni technique ya kureport majibu...
Wanauza wapi na mimi ninunue?huwa maabara mkipima ukimwi mnatumia kipimo gani? nimesikia mahali mnatumia kama hivi hivi tunavyouziwa wananchi tuji pime wenyewe? kuna ukweli ktk hilo
Dispensary/ phamarcy kubwa kule mjini vipo hivyo, ulikua hujui kwani?Wanauza wapi na mimi ninunue?
Siku zote najua ni illegal kua navyo. Hata vya HIV vinapatikana pharmacy?dispensary/phamarcy kubwa kule mjini vipo hivyo,ulikua hujui kwan?
Imekaa poa mkuu... kama sijakuelewa vibaya ni kwamba namba ikiwa kubwa inamaanisha kuwaugonjwa ni severe ila nimewahi kukuona mtu wa malaria 3 akiwa hoi ilhali mwenye 200 ni mtu aliyeenda kufanya check up baada ya kujihisi mchovu mchovu.mkuu naomba nikukosoe hapo sio "dhana" bali ni technique ya kureport majibu...
hapana si illegal,iweje vya mimba viwe legal hv vingine viwe illegal? ukipata muda wewe kajinunulie zakoSiku zote najua ni illegal kua navyo. Hata vya HIV vinapatikana pharmacy?
hua tunatumiahuwa maabara mkipima ukimwi mnatumia kipimo gani? nimesikia mahali mnatumia kama hivi hivi tunavyouziwa wananchi tuji pime wenyewe? kuna ukweli ktk hilo
hakuna malaria nzuri mkuu, zote ni mbaya na kadri idadi inavyokua kubwa ndio ukubwa wa ugonjwa unazidi kua kubwaOk, malaria mbaya/hatari ni ipi sasa kwa maana ya ukubwa wa namba ni ile ya 1,2,3.., au ile inayoanzia 100+?
mkuu mtu ukiumwa malaria kiasi ukawa hoi huwezi kua na malaria 3. .am soo sure katika hili, labda uliingizwa chaka kidogo au umejichanganya sehemu.Imekaa poa mkuu... kama sijakuelewa vibaya ni kwamba namba ikiwa kubwa inamaanisha kuwaugonjwa ni severe ila nimewahi kukuona mtu wa malaria 3 akiwa hoi ilhali mwenye 200 ni mtu aliyeenda kufanya check up baada ya kujihisi mchovu mchovu
Je hii ni kutokana na kinga za mwili wa mtu husika au kuna kigezo tofauti?
cha mimba ni vyepesi kukitumia na vile vilikua designed kwa matumizi ya nyumbani mkuu.hapana si illegal,iweje vya mimba viwe legal hv vingine viwe illegal? ukipata muda wewe kajinunulie zako
kabla hujachukuliwa sampuli, unatakiwa usomewe vipimo vyako na kuelezewa process ambayo itafatwa wakati unachukuliwa kipimo husika, na majibu inategemea na mfumo wa sehemu husika yawezekana wanatumia mfumo wa computer (Information System) ambayo mtaalam akimaliza kukupima anatuma majibu kupitia mfumo kwa daktari na daktari anakusomea kwa mdomo.. ila pia unaweza kuomba "hardcopy" ya majibu yako, ni haki yako.Tukienda kupima malaria vipimo unatakiwa utamkiwe kwa mdomo au uandikiwe kwenye karatasi? maana kuna sehemu majuzi nimeenda kupima majibu nimeambiwa tu kwa mdomo kuwa nina malaria sina typhoid,hii n sawa utoaji wa majibu kwa namna hii kwa mgonjwa?
Mkuu samahanihakuna malaria nzuri mkuu, zote ni mbaya na kadri idadi inavyokua kubwa ndio ukubwa wa ugonjwa unazidi kua kubwa
NB: Hakuna malaria 1, 2 3 wala 4.. kuna sehemu huko juu nmeelezea mkuu
kiutaalam hapo kuna shida ya incompetence kwa mtaalam husika ndio maana serikali inahamasisha matumizi ya mrdt ili kuepuka na kupunguza vitu kama hivyo.Mkuu samahani
Nishawahi kusikia mtu anaambiwa ana malaria ringi 1,2,3....
Hii ipoje?
Naam shukrani sana kwa kuendelea kutujibu maswali yetu na kututoa tongotongo machoni mwetu Mungu akubariki kwa hilo.kiutaalam hapo kuna shida ya incompetence kwa mtaalam husika ndio maana serikali inahamasisha matumizi ya mrdt ili kuepuka na kupunguza vitu kama hivyo.
wote wako sahihi mkuu, vyovyote vile ila cha msingi mbegu zipatikane.Naam shukrani sana kwa kuendelea kutujibu maswali yetu na kututoa tongotongo machoni mwetu Mungu akubariki kwa hilo...
pole sana mkuu.
vipimo vya malaria kwasasa hapa Tanzania kuna...
Mkuu nmekuvulia kofiamkuu hapo kitaalam hiyo naweza kuiita "competence assesment", ni katika kuhakikisha kua huyo mpimaji je anajua anachokifanya!?...