Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
10,434
Reaction score
17,204
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia.
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
UNAONA UNAVYOHANGAIKA KUNUNUA BANDO KILA SIKU? WI-FI ROUTER ZA TIGO NDO KITU PEKEEE KINGEKUSAIDIA

Kua na wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki.

1. Biashara. Unaweza kuifanya wifi yako kama biashara mfano wewe uko na majirani 10 ukiwaambia watoe 20k kwa mwezi una laki 2 ukitoa ya Kulipia unabaki na100k faida. Pia kama ni kweny eneo lako la biashara nyingine, utaongeza idadi ya wateja kwasababu watapenda kuja ofisin kwako wakijua kuna wi-fi, pia wewe utakua huru kupost biashara zako mtandaoni.

2. Kuokoa gharama za bando. Bando za kawaida zinaumiza sana hasa kama una matumizi makubwa. Mfano ukipiga hesabu ya gb 1 kwa 2100 kama kwa siku unatumia gb 1 basi kwa mwezi unatumia 63000 na hapo haupo huru kutumia data unavyotaka. Sasa zidisha hiyo 63 mara watu wote mtakaotumia hiyo wi-fi, utakuta hela ni kubwa sana mnayotumia. Kukata hizo cost zote mngechukua wi-fi router moja ya tigo watu 64 wote mnatumia bando unlimited.

3. Wi-fi router za tigo zina speed kubwa na zina technology ya 5G pia hazisumbui au kukata katikati ya mwezi, speed kuanzia 20mbps hadi 200mbps hivyo utakua na stable internet connection mda wote.

4. Ukiwa na wi-fi router, utatumia vifaa vingi vyenye kutumia bando kubwa bila shida, mfano computer (pc), smart tv, PlayStation nk. Speed ya mtandao ni kubwa unaweza ku stream video ya 4k bila kukwama kwama hata kidogo.
5. Ukinunua wi-fi router kwangu nitakuelekeza jinsi ya kuzuia watu usiowahitaji kutumia wi-fi yako kwa kupeana password au ku scan QR code. Pia kama unaihitaji kibiashara nitakupa mbinu zote za kibiashara.

UTARATIBU WA MALIPO MARA YA KWANZA.
Mara ya kwanza unalipia kiasi cha sh.250,000, unalipia hela moja Kwa moja yas humtumii mtu na kama unataka ulipie ukishakutana na muuzaji na kuona bidhaa basi unaniambia tunakufuata hadi ulipo. Hiyo 250000 ni kwaajili ya kupatiwa kifaa(router) pamoja na bando unlimited lenye speed ya Mbps 100. Pia utapewa offer mwezi unaofuata hautalipia, kwahiyo ukishatoa hiyo 250000 miezi miwili yote utatumia wi-fi router yako bila kulipia, utaanza kulipia mwezi wa tatu na kuendelea. Pia kuna router ndogo za 130,000 bando lake ni unlimited pia. Ukitaka unlimited bando kwenye lain yako tu utumie bila wifi router ni laki moja kwa miez 3

UTARATIBU WA MALIPO MARA YA PILI NA KUENDELEA!
Uzuri wa huduma hii ni kua unaweza kulipia kidogo kidogo kila mwezi hadi umalize, kikubwa ndani ya mwezi ukamilishe kulipia 100k na unalipia kwenda yas moja kwa moja kupitia menu ya mix by yas

NAKUHAKIKISHIA HUTAJUTA KUCHUKUA WI-FI ROUTERS ZA YAS KWANGU

Nipigie au text kwa : 0717700921
Uungwana ni kitu cha bure ,huku sio facebook, fungulia uzi tangazo lako.
 
Wakuu active subwoofer yenye sifa hzi ina
Mzki mzto kweli na inayazidi ma subwoofer ya mchina kama seapiano 🤔
 

Attachments

  • DSC_0013.JPG
    DSC_0013.JPG
    111.1 KB · Views: 17
Ni program za kuchakata mziki ili upate ladha tofauti tofauti ,ni operating system kama ilivyo adroid au windiw os
Hawa hata earphones zao tu ni balaa, zinajitahidi zina mziki muzuri sana, nmewahi dumu nayo moja hivi nyeusi mpaka nikaigawa..
 
Back
Top Bottom