Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Then i think video watu wanayoihusisha sana na secret society isue ni blak n white sio they dont care about us.coz when you listen to they dont care about us he is talking abt humiliatn.but all in all MJ himself he never said out who “are they” so people are just guessing coz they thnk behind every successful human being lies secret society ,a formula which is not exactly applicable in all situations like MJ situation

Kwa hiyo ulitaka aseme exactly yeye ni nan ndo uwe umeamini .. That y they are called the secret societ . Very few people can detect ..the thing
 
Kwa hiyo ulitaka aseme exactly yeye ni nan ndo uwe umeamini .. That y they are called the secret societ . Very few people can detect ..the thing

Then how did you know about secret societies?so they are no longer secret any more .its just ones plan to make money on shortful thnkers that you spend a lot of time to thnking abt this bulsht while thy work hard to gap us day n night.wak up n believe in yourself u can just top it .
 
Nop mkuu,its not true kuwa conrad murray said the dose was for painful relief.what he said is the dose was for inducing sleep to MJ so that he can gain energy to perform in the rehesal for this is it.no body can claim that MJ was among scret society member.no evidence coz he never said about this all he said was he christian in an interview held by oprah

Ok ..
So how can you use Very superior intravenous general anesthesia such as PROPOFOL at very high dose just for inducing sleep ? If that is not enough the physician added BENZODIAZIPIN JUST for inducing sleep what type of SLEEP did he want to achieve. I never heard it before ..
 
Napenda kujinasibu kuwa mi ni moja ya mashabiki wake wa kutupwa tokea udogo wangu, kama shabiki wake nimekuja kujua kuna mambo mengi watu hawafahamu kuanzia ilikuwaje akawa anabadilika rangi kiasi kufikia mweupe kabisa, mafanikio, controversy kwenye maisha yake na scandal mbali mbali ..

Nakaribisha swali lolote kuhusiana na Michael Joseph Jackson.......

Umezaliwa lini? jee na yeye alikuwa anakufahamu au wewe unajipendekeza tu?
 
He was a member of kkk

Tokea lini KKK ikachukuwa mtu mweusi? Hicho ni kikundi cha white supremacist na kama ingewezekana wangewaondoa weusi wote huko marekani.

KKK ikikumbana na mweusi hata barabarani inamuua au kumuadhibu.
 
ntaendelea kupinga hayo mawazo yako ya udini na conspiranza, kama kutangaza michael alikuwa na uwezo wa kutangaza muda wowote na wakati wowote..

Nakusihi usipende kuyashika mambo haya mnayoona kwenye cd uchwara na mkaziassociate na imani zenu, tony ni mmbaguzi huo ndo ukwli kama michael aliweza kusema tony ni mmbaguzi kwann ashindwe kusema huo uzushi unasema..

Nakusihi sana hizi cd uchwara za ubungo ukiziangalia changanya na akili zako

"and tomy matola is a devil"
 
hapo na mimi kunipa utata maana nyimbo zilizoimbwa cku ya kifo chake na utaratibu ulikuwa ni za gospel ikiwemo "soon and very soon"...sina uhakika kama mashahidi wa yehova huwa wanaaga

Mashahidi wa Yehova huwa wanaaga mwili kama kawaida,lkn kumbuka kwamba hadi anakufa hakuwa Shahidi wa Yehova na ndo maana nyimbo na utaratibu wa mazishi havikuwa vya Mashahidi wa Yehova.
 
Ok ..
So how can you use Very superior intravenous general anesthesia such as PROPOFOL at very high dose just for inducing sleep ? If that is not enough the physician added BENZODIAZIPIN JUST for inducing sleep what type of SLEEP did he want to achieve. I never heard it before ..

Am deep in such on this.this happened after three trial to induce sleep using the very normal drugs failed.by the way MJ used propof before as he called it my milk(refer to last days of MJ,and what happened on 25 video clips)coz the very normal dosage failed is why conrad used the propofol
 
Mkuu acha kashfa, kama hujaridhika na majibu nambie ni kujibu vipi au unataka majibu ya NDIYO au HAPANA!?

Achana naye huyo. Labda anaona wivu unavyojibu vizuri. Anatamani angekuwa yeye ndo anajibu hivyo na watu wanmuuliza.....Watu wengine bana...
 
Huna unalijua pumba tu unajibu ww unadhani tony madola alitukanwa kwaajili ya recism ,,, moja ya chanzo cha kifo chake ni pale aliposlimu na kutaka kuutangazia uma ubaya wa secret society., .

Mkuu unavyoshupaa utadhani unajua kitu kumbe hola kabisa!! Who is Tony Madola?!! Sisi tunamfahamu Tony Mutola!! Huyo Madola sijui umemtoa wapi! You are less informed aisee!!
 
Tokea lini KKK ikachukuwa mtu mweusi? Hicho ni kikundi cha white supremacist na kama ingewezekana wangewaondoa weusi wote huko marekani.

KKK ikikumbana na mweusi hata barabarani inamuua au kumuadhibu.

Nikisem kkk najarib kuzungumzia societ zote ambazo zipo chini, yake...
 
Tokea lini KKK ikachukuwa mtu mweusi? Hicho ni kikundi cha white supremacist na kama ingewezekana wangewaondoa weusi wote huko marekani.

KKK ikikumbana na mweusi hata barabarani inamuua au kumuadhibu.

Nashangaa walioleta hoja za KKK
 
Tony madola alikuwa manger wa SONY .Na kama unakumbuka 2008 miezi michache akiwa Los Angeles kabla ya tamasha lake kule london MJ alimtukana huyu manager kwa kusema "TONY MADOLA
IS DEVIL " na ikumbukwe kuwa jamaa walikuwa wameshaanza kumtia shaka kuhusiana na kwende kinyume na maadili yao hasa swala la KUSLIM japo mim mwenyew sina uhakika na hilo.
Sasa swala la kumtukana menager wa SONY hadharan ilikuwa ni sawa na mtu kumtukana mama yako mbele yako. jamaa wakawa hawana jinsi zaidi ya kummaliza kupitia daktaria wake mwenyewe CONRAD MURRAY kwa kumpiga sindano ya nusu kaputi pamoja na muscle relaxant /sedative hypnotic ...BENZODIAZEPINES and PROPOFOL .jamaa akapata CARDIAC ARREST then akawa amefariki.

PROPOFOL / Diphenol Isopropyl Intravenous Anesthesia ( DIPRIVAN )this is typically general anesthetic agent used for induction and maintanace .
Ikumbukwe pia MJ alikuwa na ka ugonjwa ka maumivu kwa hiyo jamaa hiyo dawa DIPRIVAN alipewa eti kama dawa ya MAUMIVU hii ni kwa mujibu wa daktari wake Dr. CONRAD Murray . DIPRIVAN sio dawa ya maumivu (PAIN KILLER)

kwa hiyo kifo cha MJ sio cha bahati mbaya kilipangwa kwa kupewa hiyo dawa DIPRIVAN katika dose kubwa ambayo inakuwa kama SUMU na kummalizia na hiyo ya kumlaza , kumtuliza na kumlewesha BDZ ili asipige kelele .jamaa wana nguvu ya kufanya lolote wawezalo kwa sasa jamaa alishaachiliwa yupo huru .

Ni mpumbavu pekee atakaye kataa kuwa MJ hakuwa memba of secret societ .

Upo less informed halafu ni mmbishi, Michael hakumtukana Tony ila alisema ukweli kuwa Tony ni Mmbaguzi hakumtukana kama angemtukana kwa ukubwa wa tony lazma angekuwa sued asee labda neno matusi liwe linamaanisha maana nyingine....

Ni mjinga pekee ataamini hizi conspiranza
 
I always watch videos and not reading lyrics only

Kwani zipo under nani...!??

unakuwa mwepesi wa kuamini mambo ya ajabuajabu na wala huna facts... haya tuambie zipo under nani
 
Upo ryt sana mkuu, na tena hiyo video akisema hvyo ilikuwa public kabsa. Si huyo tu haya yule mshkaji wa pirate of caribean nae alisema meng kuhusu hawa watu wanao run hollywood,,,,,,Wasanii weng ambao walijua real truth walipotezwa,

Kama kweli upo sahihi Michael wangemuuwa tokea miaka ya 80 maana enzi hizo ndo alikuwa kwenye peak..

Michael alikufa kutokana na overdose na daktari alishtumiwa kwa Manslaughter..

Ikumbukwe kila star akifa mnahusanisha na hayo mambo yenu yasiyokuwa na mbele wala nyuma, angekufa mudy wa mbagala msingesema

Ila mastaa kama Michael, elvis presley , John lenon vifo vyao vinatengenezewa habari ili watu wapate pesa...., tujaribuni kushughulisha na akili zetu jamani si kila information uamini tuuu ilimradi umeskia mzungu kasema
 
Usitake kubisha uonekane mbishi tu,,,hakuna mashindano ya kubishana zipo facts zmetolewa take em or leav em,,,

Bt jua kila kitu kinaenda kwa nyakati.
 
ahaha mnanichekesha sana , nawaomba mkasome historia ya klux klan kwanza halafu utaona ukweli upo wapi, Michael jackson pamoja na kubadilika rangi yake bado alikuwa anabaguliwa na wazungu kama kawaida..

ukitaka maelezo sahihi tafuta video Youtube Michael alikuwa akimuongelea jinsi gani manager wa Sony Music "Tony" alivyokuwa akiwabagua na kuwatumia vibaya wasanii weusi ikiwemo yeye...hapa utaona hayo mambo ya KKK ni uzushi wa kipuuzi usiofaa hata kusikilizwa

hata mimi nikikifuatilia sana life yako naweza nikaibua mambo mengi mno mabaya na nikadraw conclusion mbaya.Ile Documentary Ni Ujinga Wa Muislam Fulan Kumtumia Michael Jackson Kama A World Superstar Ili Kuleta Ushawishi Wa Watu Kusilimu. Ni Ujinga Mtupu Nakubaliana Na Wewe
 
Hizi documentary zimekuwa za uchwara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom