Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Ni kweli Michael Jackson alisilim na kua Muslim Kabla ya kifo chake? na Ni kwel alitoa nyimbo yake alioiita "Thanks to Allah"
 
Kama ukiangali vzr hiyo video utangudua ya kwamba kulikuwa na alama za makundi ya secret group, ambazo katika video yake anaonekana anazivuja zile alama za kishetan!!,

Ndo maana nakwambia hizo ni theories tu watu wanawza hata kukuhusanisha wewe hapo labda kwa namna navyotembea au kufanya lolote na kitu fulani
 
Kweli wale watoto wa Michael ni wake... Na maanisha kutoka katika Manii zake....
 
Napenda kujinasibu kuwa mi ni moja ya mashabiki wake wa kutupwa tokea udogo wangu, kama shabiki wake nimekuja kujua kuna mambo mengi watu hawafahamu kuanzia ilikuwaje akawa anabadilika rangi kiasi kufikia mweupe kabisa, mafanikio, controversy kwenye maisha yake na scandal mbali mbali ..

Nakaribisha swali lolote kuhusiana na Michael Joseph Jackson.......

Nakukubali sana kama na wewe ulimkubali king of pop mia mia ananikongaga kinoumer noumer adi watu wananiita mrs Michael Jaco kwa Kweli jamaa a rest in peace
 
Ndo maana nakwambia hizo ni theories tu watu wanawza hata kukuhusanisha wewe hapo labda kwa namna navyotembea au kufanya lolote na kitu fulani

Na alama nyingi zipo kwenye alama ya album yake inaitwa Dangerous....kila mtu amejaribu kusema yake ila hamna siku Michael aliyosema chochote kma aliwahi kuwa member wa secret societies hizi tunazozifahamu.... all and all Michael alikuwa na kipaji
 
Nakukubali sana kama na wewe ulimkubali king of pop mia mia ananikongaga kinoumer noumer adi watu wananiita mrs Michael Jaco kwa Kweli jamaa a rest in peace

Pamoja sana
 
Ni kweli Michael Jackson alisilim na kua Muslim Kabla ya kifo chake? na Ni kwel alitoa nyimbo yake alioiita "Thanks to Allah"

Nyimbo ya Thanks to allah aliitoa ni kweli, kuhusu kuslim kwake limekuwa suala la kificho sana kiasi kwamba ni ngumu kuthibitisha maana hata utaratibu uliotumika cku ya kumzika ulikuwa wa tofauti, kama kweli Michael alislimu maziko yake yangekuwa tofauti na tuliyoyashuhudia,..

Kiimani Michael Jackson amelelewa dhehebu la mashahidi wa yehova, japokuwa kuna kipindi walimtenga(1988) kutokana na mambo yake kuwa tofauti na dhehebu hilo
 
Unafikiri nin? hasa siri ya mafanikio ya michal jackson, pamoja na kuwa mwanamziki je? alikuwa na vyazo vingine vya kimapato!
 
Hzo zote conspiracy theories ila hakuna evidance ya moja kwa moja kuwa Michael alikuwa member wa hayo makundi..

Michael alikuwa mwanamuziki mwenye kipaji kikubwa mno tokea akiwa na miaka 6, kipaji chake na management nzuri ndo vimechangia mafanikio yake

je? michal jackson alikuwa kwenye kundi la secret society group,

kati ya skull bones
freemason, illuminate, klu klan klax(kkk).

He alikuwa anatumika na kkk

Hakuwa direct member
 
Na hata ishu ya yey kuwa white
Pamoja na kifo chake vyote vilikuwa planned

hizo ni hisia zako, Michael alikuwa anaumwa Vitiligo huo ndo ukweli na kwa taarifa yako zile gloves alizoanza kuzivaa hazikuwa fashion bali ni kwa vile alianza kutokewa na mabaka makubwa kwenye mikono(kama umeshawahi muona mtu mwenye vitiligo)...

maswala ya kuplan na theories nyingine zote kuhusiana na kubadilika kwa ngozi yake ni uwongo mtupu na hisia zisizkuwa na mashiko,
 
Katika history ya familia yao, kuna mtu mwingine mwenye.vitiligo???

na kuhusu mazingira ya kifo chake umeyafatilia vizuri? Umekalil kila linalosemwa ni rumorz? Nipe uchunguzi na jinsi ulivyo fatilia hadi kusema hayo uliyo yasema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom