el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
- Thread starter
- #41
kweli 100%
ahaha mnanichekesha sana , nawaomba mkasome historia ya klux klan kwanza halafu utaona ukweli upo wapi, Michael jackson pamoja na kubadilika rangi yake bado alikuwa anabaguliwa na wazungu kama kawaida..
ukitaka maelezo sahihi tafuta video Youtube Michael alikuwa akimuongelea jinsi gani manager wa Sony Music "Tony" alivyokuwa akiwabagua na kuwatumia vibaya wasanii weusi ikiwemo yeye...hapa utaona hayo mambo ya KKK ni uzushi wa kipuuzi usiofaa hata kusikilizwa