el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
- Thread starter
- #81
Unajua kwann alitoa nyimbo ya heal the world ?? Unajua kwann alitaka afanye show ya mwisho aache mziki ! Je unajua tony madola aliitwa devil kwasababu gani .,;!"
Michael jackson ni mtu ambaye amekuwa akitoa msaada si mara moja wala mbili hivyo basi kabla hata ya kutoa wimbo wa hela the world kama unavyojua walitoa wimbowa We are the word yeye na lionel richie wakiwa watunzi...
hivyo basi kuutoa wimbo wa heal the world ni muendelezo wa Michael jackson katika kutoa msaada kwani baada ya kutoa wimbo wa huo alianzisha foundation ya kuwasaidia watu iliyoitwa heal the world foundation ..
wimbo wa heal the world hauna uhusiano wowote na mambo ya consiparicy