Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Niulize chochote kuhusu Michael Jackson

Kiukweli no body anaweza kuthibitisha MJ was a secret group member.though watu wanaweza kuunganisha mambo and come out wth that idea.mfano some people wamehusisha album cover zake na hii kitu,eg(blood on the dance floor 1997-na ishu ya sep 11 2001) pia cover ya album dangerous 1991 na hii ktu ya secret societies
 
Kama ukiangali vzr hiyo video utangudua ya kwamba kulikuwa na alama za makundi ya secret group, ambazo katika video yake anaonekana anazivuja zile alama za kishetan!!,

Ndo maana nimesema jamaa amna alijualo kuhusiana na MJ
 
Basi inaonyesha amna ulijualo kuhusu mj ...
Hivi unajua tony madola alikuwa nan ?
Je wajua kwanin walimpiga sindano ya sumu?

Mkuu no evidence ya unachokiongea.ulifuatilia kesi iliyokuwa inamkabli conrad murray?ulifuatilia ushahidi wa video mahakaman kuhusiana na kifo chake ?what killed him was propofol+ benzodiazepine ambazo alikuwa amepewa na daktari wake ili apate usingiz as MJ claimed that without sleep he will do nothing on the stage as he was doing rehesal for the this is it
 
Huna unalijua pumba tu unajibu ww unadhani tony madola alitukanwa kwaajili ya recism ,,, moja ya chanzo cha kifo chake ni pale aliposlimu na kutaka kuutangazia uma ubaya wa secret society., .

jamaa yupo informed, wew ndo kuna vitu huvijui
Jamaa napishana nae kidgo kuhusu racism yeah ndo ilifany
Mj afanye aliyfanya, coz nyimbo zake zilikuwa hazpigwi kwa sababu ni black.

Ila kuhusu kkk n michael alikuwa indirect member na alitumiwa mda mrefu sana bila kujijua. Time anafunguk akili kutoka ndo ikawa ishu......
 
Unajua kwann alitoa nyimbo ya heal the world ?? Unajua kwann alitaka afanye show ya mwisho aache mziki ! Je unajua tony madola aliitwa devil kwasababu gani .,;!"

Usiweke maswali hapa bila majibu.kama unauhakika na hicho unachoongea weka hapa hzo sababu za kwa nn alitoa heal the world ,afanye show ya mwisho etc
 
Evidence please

Mkuu una whats app? Ningeweza share nawe baadhi ya info then uamue

Coz wakin Mj, WH n etc wote walijua kuwa watakuwa killed n walikuwa kma wanatak kusema kwa public bt huwezi mtu kana rais kwa chombo anachokiongoza....
 
naona watu wanaongea yale wanayosimuliwa sio wanayoyajua yenye ushahidi
humu ukileta habari zako utaulizwa ushahidi huwa hatupelekani kama mizoga
 
Mkuu una whats app? Ningeweza share nawe baadhi ya info then uamue

Coz wakin Mj, WH n etc wote walijua kuwa watakuwa killed n walikuwa kma wanatak kusema kwa public bt huwezi mtu kana rais kwa chombo anachokiongoza....

Mkuu i have been michael jackson fan since down the time.na nina album zake zote from got to be there(1972) to invisible (2001) + michael(2010). i new the man and i tried to understand him inside out.by the way hiyo album dangerous ni ya kitambo sana,kama he opened the issue of secret society he could have been killed on the spot.how can this be ,from 1991 when the album released to 2009 when he died then still ukahusisha hii kitu kwake
 
Pitia kidgo hapa ufanye warm up
then tuanze kupeana more info

m.youtube.com/watch?v=vFU8HSXNOsM
 
Mkuu youtube you can find even videos shows michael jackson is not dead!so its not just a matter of watching the video and come out with the conclusion

Nop, hiyo video iangalie, then judge. Maana hakun evidenc nzuri kama ukisikiliza na kuona muhusika akizungumza, ukipata kuitazama nitasem my take then nawe utaweza judge

NDIO YOU TUBE INA MENGI UONGO N SOME UKWELI JUST VISIT
 
Mkuu video nlishaipitia once i was seeking the truth abt his death.then kumbuka kuwa his doctor was sentenced 4 years in jail for homecide.#was a mistake of overdose of propofol iliyotumika with expectation ya kuleta usingiz then he could perform on rehesal coz it was a billion dollars worth deal
 
Mkuu video nlishaipitia once i was seeking the truth abt his death.then kumbuka kuwa his doctor was sentenced 4 years in jail for homecide.#was a mistake of overdose of propofol iliyotumika with expectation ya kuleta usingiz then he can perform on rehesal coz it was a billion dollars worth.

Hiyo video umeangalia vizuri?? If so ni maswali gani umejiuliza au majibu gan umeyapata??
 
Hiyo video umeangalia vizuri?? If so ni maswali gani umejiuliza au majibu gan umeyapata??

mkuu take a not he never explained "who were they"
all in all no body who can come out with what real happened then kama ulifuatilia familia yake ilifungua kesi kuhusu promota kuwa ndio alie mwajiri conrad murray but promota won coz documents showed conrad murray was emloyed by MJ himself
 
Nyimbo ya Thanks to allah aliitoa ni kweli, kuhusu kuslim kwake limekuwa suala la kificho sana kiasi kwamba ni ngumu kuthibitisha maana hata utaratibu uliotumika cku ya kumzika ulikuwa wa tofauti, kama kweli Michael alislimu maziko yake yangekuwa tofauti na tuliyoyashuhudia,..

Kiimani Michael Jackson amelelewa dhehebu la mashahidi wa yehova, japokuwa kuna kipindi walimtenga(1988) kutokana na mambo yake kuwa tofauti na dhehebu hilo

Mkuu ni kweli huo wimbo "Give thanks to Allah" ni wa MJ au ali-copy? For all things I know huo wimbo ni wa Zain Bhika (south Africa nasheed singer)
 
Huna unalijua pumba tu unajibu ww unadhani tony madola alitukanwa kwaajili ya recism ,,, moja ya chanzo cha kifo chake ni pale aliposlimu na kutaka kuutangazia uma ubaya wa secret society., .

he is tommy mottola ,but MJ himself infront of jounalist he said sonny kills music addressing tommy as the one .lakin sio unachokiongea wewe
 
Nyimbo ya Thanks to allah aliitoa ni kweli, kuhusu kuslim kwake limekuwa suala la kificho sana kiasi kwamba ni ngumu kuthibitisha maana hata utaratibu uliotumika cku ya kumzika ulikuwa wa tofauti, kama kweli Michael alislimu maziko yake yangekuwa tofauti na tuliyoyashuhudia,..

Kiimani Michael Jackson amelelewa dhehebu la mashahidi wa yehova, japokuwa kuna kipindi walimtenga(1988) kutokana na mambo yake kuwa tofauti na dhehebu hilo

Na kwanini maiti yake haikuoneshwa au kufunuliwa kipindi cha kuagwa kama wafantavyo wakiristo wengine?
 
mkuu take a not he never explained "who were they"
all in all no body who can come out with what real happened then kama ulifuatilia familia yake ilifungua kesi kuhusu promota kuwa ndio alie mwajiri conrad murray but promota won coz documents showed conrad murray was emloyed by MJ himself

kuna mda alisema kuna consipiracy bt he wont say more, je hii haiwezi kuwa about secret societ?

MJ alikuwa na hela n power alikuwa nayo kwa watu, da qn is nan ambaye amekuwa tishio kwake hadi kumfanya MJ aogope kula, kwenda hosp kuhofia kupewa sumu? Hao ni wakina nan ambao kila sehem wapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom