Gharama za kufungua pharmacy kwa kawaida zinategemea vitu viwili sehemu eneo na ukubwa wa pharmacy unayohitaji!ukitoa gharama za frame gharma za mtaji wa dawa pekee zinaanzia 5m .
Kuhusu mfamasia: utahitajika kumuajiri mfamasia aliyehitimu na ambaye amekwisha sajiliwa na The pharmacy council of Tanzania.
Malipo kwa mfamasia itategemea na makubaliano yenu lakini kwa Dar es salaam ni wastani wa 1.2- 1.4m kwa retail pharmacy na 1.8-2m kwa wholesale pharmacy ..kwa mikoani gharama ziko chini kwa wastani wa 700k mpaka 1m