Mfamasia ana uwezo wa kusimamia famasi ngapi kwa kutumia cheti chake?

tss

Member
Aug 31, 2023
73
37
Habari Wana jamvi,

Hivi mfamasia anauwezo wa kusimamia pharmacy ngapi Kwa kutumia cheti chake, na je majukumu yake ndani ya hiyo pharmacy ni kukaa humohumo na kuuza dawa au ni yapi?

Na mfamasia mwenye diploma akitaka kufungua pharmacy na yeye mpaka atumie cheti Cha mfamasia mwenye degree.

Na je, atamlipa sawa na wafanyabiashara wengine kisheria?naomba kuwasilisha
 
Badala ya kuuliza shida yako wewe unazunguka.

Ungeuliza straight unataka kufunguwa pharmacy, requirements ni zipi?
 
Habari Wana jamvi,

Hivi mfamasia anauwezo wa kusimamia pharmacy ngapi Kwa kutumia cheti chake, na je majukumu yake ndani ya hiyo pharmacy ni kukaa humohumo na kuuza dawa au ni yapi?

Na mfamasia mwenye diploma akitaka kufungua pharmacy na yeye mpaka atumie cheti Cha mfamasia mwenye degree.

Na je, atamlipa sawa na wafanyabiashara wengine kisheria?naomba kuwasilisha
Mosi cheti kinasimamia pharmacy moja tu ambayo yeye atakuwa ni superintendent.

Huyo wa diploma akitaka kufungua atatumia cha mtu wa degree maana biashara ya pharmacy huitwa "business of a pharmacist" ila haitomlazimu pharmacist huyo kuwepo on daily basis ila anatakiwa kwenda walau mara 1 kwa mwezi kwa ajili ya supervision .

Tatu malipo ni based on contract na mode ya premise (wholesale or retail).
 
Na mfamasia mwenye diploma anaweza kusimamia DLDM ngapi kwa cheti chake...
 
Habari Wana jamvi,

Hivi mfamasia anauwezo wa kusimamia pharmacy ngapi Kwa kutumia cheti chake, na je majukumu yake ndani ya hiyo pharmacy ni kukaa humohumo na kuuza dawa au ni yapi?

Na mfamasia mwenye diploma akitaka kufungua pharmacy na yeye mpaka atumie cheti Cha mfamasia mwenye degree.

Na je, atamlipa sawa na wafanyabiashara wengine kisheria?naomba kuwasilisha
@rikiboy
 
Back
Top Bottom