Vigezo vya kufungua pharmacy

Sacsosanct

Member
Sep 2, 2014
24
34
Habari wadau! Naomba kujua dondoo muhimu kabla ya kufungua duka la dawa rejareja (pharmacy sio DLDM) na vigezo gani kuzingatia kabla sijaenda mamlaka husika niwe na ABCD. Asanteni wadau.

Je, cheti cha mfamasia mmoja kinawezakutumika zaidi ya mara moja kwa wakati mmoja?
 
Habari wadau! Naomba kujua dondoo muhimu kabla ya kufungua duka la dawa rejareja (pharmacy sio DLDM) na vigezo gani kuzingatia kabla sijaenda mamlaka husika niwe na ABCD. Asanteni wadau. Je, cheti cha mfamasia mmoja kinawezakutumika zaidi ya mara moja kwa wakati mmoja?
Hapana hakiwezi
 
Mkuu, kabla ya yote itapaswa kwanza uwe na jina la hiyo Pharmacy yako. Kisha itabidi utafute eneo kwa kuzingatia vigezo kadhaa vilivyowekwa na baraza la famasi.

Mathalani, ukubwa wa chumba, umbali wake kutoka kituo cha mafuta, umbali kutoka hospitalini n.k.. (Doc ipo kwenye web ya baraza la famasi Tanzania)

Baada ya hapo itabidi uende ofisi za baraza lililo karibu yako, utalipia 100,000/= ya premise kuja kuangaliwa kama inakidhi vigezo. Wakija watakupa na recommendations za nini ufanye na uboreshe.

Baada ya hapo wataondoka ili ufanyie kazi mapendekezo yao na wewe kuanza ku furnish hiyo premise yako. Ikikamilika watakuja tena kukagua na kukupa green light.

Mean while, ukisharuhusiwa utapaswa kuwa na mfamasia wa kuendesha hiyo premise na cheti chake kinatumika kwa pharmacy 1 tu.

Muhimu, usianze kukarabati chumba au kulipia rent kubwa kabla jamaa hawajapitisha. Inaweza kukataliwa ukawa umekula hasara.

Doc ya vigezo ipo hapa chini.
 
Attachments

  • SUPP GN 269 17 APRIL 2020 -The Pharmacy (Premises Registration) Regulations 2020 - Final.pdf
    716.6 KB · Views: 66
Mkuu, kabla ya yote itapaswa kwanza uwe na jina la hiyo Pharmacy yako. Kisha itabidi utafute eneo kwa kuzingatia vigezo kadhaa vilivyowekwa na baraza la famasi.

Mathalani, ukubwa wa chumba, umbali wake kutoka kituo cha mafuta, umbali kutoka hospitalini n.k.. (Doc ipo kwenye web ya baraza la famasi Tanzania)

Baada ya hapo itabidi uende ofisi za baraza lililo karibu yako, utalipia 100,000/= ya premise kuja kuangaliwa kama inakidhi vigezo. Wakija watakupa na recommendations za nini ufanye na uboreshe.

Baada ya hapo wataondoka ili ufanyie kazi mapendekezo yao na wewe kuanza ku furnish hiyo premise yako. Ikikamilika watakuja tena kukagua na kukupa green light.

Mean while, ukisharuhusiwa utapaswa kuwa na mfamasia wa kuendesha hiyo premise na cheti chake kinatumika kwa pharmacy 1 tu.

Muhimu, usianze kukarabati chumba au kulipia rent kubwa kabla jamaa hawajapitisha. Inaweza kukataliwa ukawa umekula hasara.

Doc ya vigezo ipo hapa chini.
Mungu akubariki sana! Aksante!
 
Ku simplify mchakato pamoja na haya uliyoyaeleza nyooka na mfamasia wa wilaya kama pharmacy unayotaka kifungua iko makao ya mkoa nyooka nao wote wawili (wa wilaya na mkoa)
 
Kigezo kikuu ni uwe na mpunga wa maana kabla ya yote. Kama mtaji wako ni mdogo anza biashara nyingine isiyo na masharti mengi ukijipanga baadae kuwa na pharmarcy.
 
Habari wadau! Naomba kujua dondoo muhimu kabla ya kufungua duka la dawa rejareja (pharmacy sio DLDM) na vigezo gani kuzingatia kabla sijaenda mamlaka husika niwe na ABCD. Asanteni wadau.

Je, cheti cha mfamasia mmoja kinawezakutumika zaidi ya mara moja kwa wakati mmoja?
Hakiwezi
Pharmacy act 2011 section 34, 36,44 zimeeleza vema pitia.
Inapatikana hapa
 
Pia lazima uwe location na premises ambapo utalipa pesa inaitwa pre inspection fee ni laki Moja kama sikosei baada ya hapo wakaguzi watakuja kukagua location, Kisha premises Kisha watakupa go ahead ku improve hizo premises

Maelezo ni mengi mkuu nachoka ku type
 
Polee mkuu but hayo yote kuna jamaa kashafanunua ndani ya sekunde kumi tu….upo dar nn..!!?
 
Pharmacy ya jumla na rejareja
Naomba kuuliza kwa mwaka 2024 makadilio ya kufungua duka la dawa la jumla na rejareja inaweza kugharimu sh ngapi?
 
Back
Top Bottom