Niulize chochote kuhusu Mfamasia na madawa

nimekuwa na matamanio ya kufungua pharmacy kwa wastani mtaji ni kiasi gani? ni kweli kwamba lazima mfamasia mwenye degree awepo kwenye pharmacy? malipo ya mfamasia ni fixed au ni maelewano? ni kiasi gani kama ni fixed? nikitaka kuwa na pharmacy inayotoa huduma ya bima utaratibu wake unakuwaje...? kuna viwango vya mtaji unapashwa kua navyo kuweza toa huduma hizo za bima? nawasilisha
 
Je kozi ya famasi ni ngumu sana.maana kuna kazi nataka kuacha nika some hii kozi.nimechoka kugombana na raia Nina chemistry E biology C the rest S
 
Habari!
Mmi ni mfamasia mzalendo niulizeni maswali yyte kuhusu pharmacy ,mfamasia na dawa
Aksanteni
mbona hujitokezi tena?
eti kuna sindano ukichomwa km una Diabates (sukari) na haijagundulika unaweza katisha maisha?
 
je ni kweli hizi dawa tunazotumia zinaweza kutengenezwa zikawa dawa za kulevya ? kama jibu ni ndio ni zipi hizo niorodheshehe ?
Ndiyo baadhi ya dawa zinaweza tengenezwa na kuwa za kulevya
Dawa hizi ni zile za maumivu makali ambazo ziko katika kundi la 'opioid analgesics'.mfano... Morphine
 
nimekuwa na matamanio ya kufungua pharmacy kwa wastani mtaji ni kiasi gani? ni kweli kwamba lazima mfamasia mwenye degree awepo kwenye pharmacy? malipo ya mfamasia ni fixed au ni maelewano? ni kiasi gani kama ni fixed? nikitaka kuwa na pharmacy inayotoa huduma ya bima utaratibu wake unakuwaje...? kuna viwango vya mtaji unapashwa kua navyo kuweza toa huduma hizo za bima? nawasilisha
Gharama za kufungua pharmacy kwa kawaida zinategemea vitu viwili sehemu eneo na ukubwa wa pharmacy unayohitaji!ukitoa gharama za frame gharma za mtaji wa dawa pekee zinaanzia 5m .
Kuhusu mfamasia: utahitajika kumuajiri mfamasia aliyehitimu na ambaye amekwisha sajiliwa na The pharmacy council of Tanzania.
Malipo kwa mfamasia itategemea na makubaliano yenu lakini kwa Dar es salaam ni wastani wa 1.2- 1.4m kwa retail pharmacy na 1.8-2m kwa wholesale pharmacy ..kwa mikoani gharama ziko chini kwa wastani wa 700k mpaka 1m
 
Kuna ukweli kweli hapa mkuu?..
 
Chuo chochote unasoma tu medicine maana ukiajiriwa huwa hawaangalii unajua kiasi gani,mambo mengi utayajua vizuri baada ya kupata uzoefu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom