Niwedi osiee...wahateia kitivo ktv?
Hub Club ipo mkuu
IKULU au IKURU?Naomba unieleweshe kuhusu sehem inaitwa ikuru
Weshu inapatikana sana kitivo,jegestali,shine,kwemnago na bars!duuh umenikumbusha mbali sana!ongai mshi waume...
Kuna jambo hamjaligusia kama inavyojulikana kwa tanga mjini mgeni yyte aliyefika lushoto harud leo mara nyingi makanbila mengi waliofika pale kwa kuajiriwa hununua viwanja na kuufanya mji huu kuwa mother land yao asiyejua lushoto pia hujulikana kama switzealand of africa kwan wagen kutoka ulaya ndio wamejaa mjini kwa matembez kuliko wasambaa wenyewe na pia ina hoteli za nyota tano na zenye mandhari za kuvutia zilizozungukwa na uoto wa asili kushinda hata baadhi ya mikoa mikubwa nna mengi sana ya kufunguka kuhusu lushoto ngoja kwnza nkachek mechi...
Ikulu ya Lushoto ni nyeti sana huwezi kuona picha yake. papaa iko katikati ya msitu na hawa jamaa choma choma wakikuona unaikaribia watakukamata na mpaka uwaconvince kwamba huna nia mbaya utakua huna korodani. wale wa kule ni wale wa Nyerere hawajakua diluted kama waliomshughulikia Ulimboka
Karibuni wadau wa Jf uliza ujibiwe kuhusu wilaya ya Lushoto na maeneo yake. Hii ni moja ya wilaya nzuri kabisa ndani ya mkoa wa Tanga. Karibuni...
CC: mshana jr
Pametulia balaa na kunawalinzi pale 24hrs
Kijana unatoa mambo nusunusu kwanini? Makabila ya Lushoto ni mengi baadhi ni Wasambaa, Wabondei, Wapare, nk hivyo ukisema wenyeji ni kabila moja tu sikubaliani na wewe
Sisi wa Enzi hizo hivi lile disco letu green valley na hub club yapo?totoz za mazinde juu,kifungilo,shambalai,kongei gonga sana zile Enzi izo na mhuni mmoja alikua kinyozi sijui bado Suma yupo jamani???
Green Valley ilishakufa, The Hub Club kwa mark nafikiri bado ipo maana sijakanyaga Lushoto mwaka sasa
Unamjua Carlos?