euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,943
- 4,383
Wew umeshamaliza kuomba na kama umemaliza hizo taarifa unazojaza baadae una download au ukishamailza huko ndo basi tena.kwenye simu unajaza fresh tu download camscaner piga picha document fresh tu
Wew umeshamaliza kuomba na kama umemaliza hizo taarifa unazojaza baadae una download au ukishamailza huko ndo basi tena.kwenye simu unajaza fresh tu download camscaner piga picha document fresh tu
Hiv ndugu tunaweza kuendelea na maombi wakati tunasubiri verification ya vyeti Rita?kwenye simu unajaza fresh tu download camscaner piga picha document fresh tu
Kama ukifanikiwa kupata nitonye na mmMkuu tunapataje control namba maan mpk sahizi tunahangaika
Mhhhh alafu ukiwa na D huruhusiw auKuapply chuo ni lazima uwe na C mbili na kuendelea?,nimeangalia qualifications za guidebook ya TCU nao kila kozi lazima uwe na priciple passes mbili na wakidefine principle pass kama C and above.
Ndio nataka kupewa ufafanuzi maana Tcu guidebook yao ndo wanasema hivyo means hata wenye division two wengi hawaqualifyMhhhh alafu ukiwa na D huruhusiw au
Ngoja waje wakuu watujuzeNdio nataka kupewa ufafanuzi maana Tcu guidebook yao ndo wanasema hivyo means hata wenye division two wengi hawaqualify
HapaNdio nataka kupewa ufafanuzi maana Tcu guidebook yao ndo wanasema hivyo means hata wenye division two wengi hawaqualify
Principal pass ni DMhhhh alafu ukiwa na D huruhusiw au