Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

Ningependa kuliza hivi kama mwaka jana niliomba mkopo nikafata taratibu zote harafu kwa bahati mbaya nikashindwa kwenda chuo wala pia sikufatiria kama mkopo niliopata au lah, mwaka huu nataka niombe tena je Nafata utaratibu gani kwenye ku apply?
Lipia fomu uanze upya
 
Hawezi, labda akasome shahada ya ualimu, au akasome diploma ya uhandisi
Kwahiyo anaweza kuomba shahada ya ualimu kwa guidline za sasa za TCU akatoboa? Ili nimfanyie application ya mkopo na chuo pia?
 
Nimesit form 4 mara mbili ila nimesahau form 4 namba ya private candidate nafanyaje kuipata?
 
Nakumbuka kituo tuu nilichofanyia ila namba siikumbuki
 
Mdogo wangu kapoteza cheti cha form 4 alitoka kukichukua akaibiwa na tunataka kuaaply mkopo ata copy hana ushauri tafadhari

Wewe omba mkopo cheti cha form four hakina umuhimu wowote kwani matokeo yako si wako nayo

Cheti utafata kipindi unaingia chuo
 
Hapana aisee,siyo sahihi...!Cheti cha fm 4 ni muhimu sana wakati wa kutuma maombi ya mkopo...!Otherwise unatafuta sababu ya kuwa Disqualified...!Mkopo ni wakubembeleza sana hivyo ni muhimu kuambatanisha nyaraka muhimu sana,moja wapo ni cheti cha kidato cha nne.
 
Ningependa kuliza hivi kama mwaka jana niliomba mkopo nikafata taratibu zote harafu kwa bahati mbaya nikashindwa kwenda chuo wala pia sikufatiria kama mkopo niliopata au lah, mwaka huu nataka niombe tena je Nafata utaratibu gani kwenye ku apply?
omba tena
 
Hapana aisee,siyo sahihi...!Cheti cha fm 4 ni muhimu sana wakati wa kutuma maombi ya mkopo...!Otherwise unatafuta sababu ya kuwa Disqualified...!Mkopo ni wakubembeleza sana hivyo ni muhimu kuambatanisha nyaraka muhimu sana,moja wapo ni cheti cha kidato cha nne.

Sasa wewe bisha na mimi kuna mtu mwaka jana alikua hana nauli ya kufuata cheti cha form four na nikamuombea mkopo na akapata kila kitu mpaka hela ya field
 
Hapana aisee,siyo sahihi...!Cheti cha fm 4 ni muhimu sana wakati wa kutuma maombi ya mkopo...!Otherwise unatafuta sababu ya kuwa Disqualified...!Mkopo ni wakubembeleza sana hivyo ni muhimu kuambatanisha nyaraka muhimu sana,moja wapo ni cheti cha kidato cha nne.

Nnarudia tena cheti cha form four hakihitajiki kwenye kuomba mkopo
 
Back
Top Bottom