Wakuu salam.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshatoa first batch kwa undergraduate so nina amini kuna watu wamechaguliwa Dar es Salaam University College of Education (DUCE), mimi ni mwanachuo wa hapa hivyo naweza kukupa some hints kuhusu chuo hiki katika nyanja zote za kitaaluma na kijamii.
KARIBUNI SANA KWA MASWALI NA UFAFANUZI KUHUSU DUCE
sory kama hili swali lmeshaulizwa tena.....eti kwa first year hostel wanapata wote?? au kuna wengine huwa wanakosa?