Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

vipi kili chuo cha maswa nasikia kinatoa clinical assistant (CA) naomba maelezo yake please yaani kipo chini ya serikali au private
Ni Cha Serikali! Kuongezea Tu! Vyuo Vingi Vinavyoanza Na Jina La Hiyo Sehemu Kumalizia Na COTC! Ni Vya Serikali Mfano; Mtwara COTC, Lindi COTC, Etc.
 
Je ni kweli Sio anakuwa juu kimajukumu kwa nurse degree holder
 
Nurse degree holder hata mawilayani wanaweza wasiwepo

Huyu CO hata kijijini pembezoni huko utamkuta

Majukumu yao hayawezi kufanana mkuuu
 
[HASHTAG]#ndio[/HASHTAG] majukumu hayafanani lakini nurse degree holder........
huwezi kulinganisha na CO .......wilayan wanapatkana hata kwenye hospital za mkoa...tena mala nyingi hukaa ofsini Kama viongozi(eg...muuguzi mkuu wa wilaya////mkoa etc
 
Kirefu cha NTA level 4/5/6 ????

Jamaa sijui kapotelea wap...anyway kirefu cha NTA sijui...nachojua ni kuwa level 4 basic tecnician, level 5 ni basic certificate, level 6, ni ordinal diploma, level 7 ni advanced diploma level 8 barchelor degree...kiufupi ni vifupisho vya kiwango cha elimu...wengine wataongezea
 
Majukumu Mkuu! Asante Kwa Kufafanua Hili Upo Sahih
 
Jamaa sijui kapotelea wap...anyway kirefu cha NTA sijui...nachojua ni kuwa level 4 basic tecnician, level 5 ni basic certificate, level 6, ni ordinal diploma, level 7 ni advanced diploma level 8 barchelor degree...kiufupi ni vifupisho vya kiwango cha elimu...wengine wataongezea
NTA-National Technical Award
 
Modules za clinical medicine zikoje, naweza pata faster kabla ya kwenda niperuse.
Lakini kumbuka mitaala katika hii Course hubadilika mara kwa mara, kwahiyo it's better kufika chuo kwanza...
Sawa kijana?
 
Back
Top Bottom