Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

Ugumu Wa Course Upo Kichwani Mwako! Ingawaje Wanafunzi Wangu Wengi Wanalalamikia Pathology, Epidemiology, Physiology, Anatomy & Internal Medicine! Kidogo Na OBGY
Unatoa ushauri gani kwa yeyote anaekwenda kuisoma hii course kuanzia level ya certificate-diploma na kuendelea,,(kama unambinu pia)

Natanguliza shukrani mkuu
 
Unatoa ushauri gani kwa yeyote anaekwenda kuisoma hii course kuanzia level ya certificate-diploma na kuendelea,,(kama unambinu pia)

Natanguliza shukrani mkuu
Heshima, Kujituma, Kujielewa! Medicine Unafaulu.
 
Mikopo Inapatikana!! Via Global Funds! Na Ninavyojua Wanapata Wa Serikalini Tu! Ambapo Kama Last Year Walilipiwa Ada + Matumizi 520,000/= Ya Chakula Per Semester.
Utaratibu wa kuomba mkopo Global funds ukoje
 
Higher or advanced diploma ya clinical medicine

Unapomaliza miaka mitatu ya diploma unafanya kazi kisha unaomba kujiendeleza

AMO Assistant medical officer kwa miaka miwili
Asante Chief! Nilishamuelezea Hapo Juu! Kwa Kuongezea Tu! Unatakiwa Uwe Ushafanya Kazi Kwa Miaka 2.
 
Pia nimepata za hapa na pale kuwa hii course ni ngumu, je kuna ukweli juu ya hili??

Kama upo ni sehemu gani exactly ??

kipi kifanyike kuanzia level ya chini kabisa ya certificate mpaka level ya juu??
Soma kwa bidiii Fanya procedure kwa uhakika ndio uchawi pekee
 
vipi unaweza kusoma kama part time yaani nikitaka kuongeza taaluma mimi nina taaluma nyingine
Unataaluma gani

Unafahamu wataalamu wa mionzi xray utral sound nk

Ndio wanaosoma radiology demand bado kubwa mnahitajika sana daktari ili afanye Tiba kwa ufanisi lazima ashirikiane nawe pamoja na mtu wa maabara kupata vipimo na matokeo sahihi ya mgonjwa wake
 
Habari Wadau Kwa Mwenye Maulizo Yoyote Kuhusu Course Ya Clinical Medicine (CO & CA)
Usisite Kuuliza Hapa:
1. Admission
2. Modules
3. Mikopo
4. Life La Kitabu
5. Maswali
6. Ushauri
7. Msaada Wowote.
vipi kili chuo cha maswa nasikia kinatoa clinical assistant (CA) naomba maelezo yake please yaani kipo chini ya serikali au private
 
Back
Top Bottom