Nitumie njia gani niridhike nikifanya mapenzi?

Nitumie njia gani niridhike nikifanya mapenzi?

Mimi ni kijana wa kiume ninaishi Arusha.Kiukweli nimekuwa naboreka sana na kitendo cha kutoridhika na kutosheka kimapenzi.Kwa kawaida ninapokuwa faragha na mpenzi wangu huwa namchapa magoli sita mpaka nane lakini kila tukimaliza huwa bado najisikia kuendelea na tendo tena.Mara kadhaa nimekuwa nikienda mrina kununua wadada wanaojiuza lakini bado kiu yangu haikati!!SUALA LINANIPA WAKATI MGUMU SANA....NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUWA KAWAIDA TU...,??USHAURI WAKO NI WA MUHIMU

Hayo magoli sita au nane unayapigaje.........au unachanganya na chafya nazo unapozipiga unaita magoli.......maana katika hali ya kawada mtu anayepiga hata bao tatu kwa usiku m'moja kesho yake hata aje mwanamke mzuri kiasi gani akijitahidi sana ni bao moja tu nalo atajutia uchovu wake sasa wewe waja hapa na poroja za kupiga bao nane halafu bado mzuka upo juu .......umekuwa nani ......james brown the sex machine........hebu acha huo utoto......kwanza me nahisi hata kubalehe bado.........hebu nenda katazame hata porn ili ujue hilo bao moja linatafutwaje halafu urudi tena upya kutuelezea unapataje huo muda wa kuyatafuta nane kwa mfululizo katika chumba kilicho ndani ya nyumba ya wazazi wako bila wao kukusikia...........nonsense!
 
Goli 8 kwa ugali maharage we lazima umenyooka kama nakuona umebaki masikio tu.
 
hivi hayo magoli sita mpaka nane huwa unakojoa kama kuku au ?

halafu nani kakuambia kukojoa magoli mengi ndio kuridhika? hivi unajua wanaume pia kunautamu zaidi ya kukojoa?

Me kama sijui vile........kumbe kuna utamu........damn it.......I knew it........something about you makes me wanna come over for some little chit chat...... champagne.......and the unmentionables ..........damn just want chance and our worlds will experience the difference........
 
Mwanaume mwisho Bao 2 tu ukiendelea zaidi ya hapo ni kujiumiza tu wewe mwenyewe naamini hilo bao la kuanzia 3 na kuendelea huwa ni tumaji tuduchu tu.
 
hivi hayo magoli sita mpaka nane huwa unakojoa kama kuku au ?

halafu nani kakuambia kukojoa magoli mengi ndio kuridhika? hivi unajua wanaume pia kunautamu zaidi ya kukojoa?

hahaha miss chaga katika ubora wako,,kama kuku?? hahaha
 
Kosa ulitahiriwa kabla kwa hiyo endelea tu na ukae ukijua hata kupata watoto kwako itakuwa shida. Hizo bao za kuku. Bao 8 unajua maana ya bao au unasikia kwa jirani?
 
Kosa ulitahiriwa kabla kwa hiyo endelea tu na ukae ukijua hata kupata watoto kwako itakuwa shida. Hizo bao za kuku. Bao 8 unajua maana ya bao au unasikia kwa jirani?

Itakua anajua bao la mkono huyu.. Hebu mfundishe kwanza
 
Hata Ronaldo hawezi kufunga bao 8 mechi 1. Usit*mbe kama hutakuja tommba tena kijana
 
Me kama sijui vile........kumbe kuna utamu........damn it.......I knew it........something about you makes me wanna come over for some little chit chat...... champagne.......and the unmentionables ..........damn just want chance and our worlds will experience the difference........
aisee just come
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom