olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,574
sijakubuhu ila ni uwezo niliojaaliwa!!lowassa kura yangu atapata
labda ungesema hizo bao sita unapiga ndani ya muda gani ungeshapata msaada..
sijakubuhu ila ni uwezo niliojaaliwa!!lowassa kura yangu atapata
Hobbies zangu ni kusikiliza music,watch football na uandishi wa riwaya/ushairi na thamthiliya zangu
Mimi ni kijana wa kiume ninaishi Arusha.Kiukweli nimekuwa naboreka sana na kitendo cha kutoridhika na kutosheka kimapenzi.Kwa kawaida ninapokuwa faragha na mpenzi wangu huwa namchapa magoli sita mpaka nane lakini kila tukimaliza huwa bado najisikia kuendelea na tendo tena.
Mara kadhaa nimekuwa nikienda mrina kununua wadada wanaojiuza lakini bado kiu yangu haikati!
SUALA LINANIPA WAKATI MGUMU SANA..NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUWA KAWAIDA TU?
USHAURI WAKO NI WA MUHIMU