Duh!! magoli sita hadi nane? sidhani kama kuna ukweli katika hilo. Huwezi kukojoa hadi mara 8 kwa tendo moja hata kama ni kwamba huridhiki.
Ok. Ni hivi;
Kuridhika ni hali ya hamu yako ya kufanya mapenzi kuisha kwa kufika kilele cha utamu wenyewe wa mapenzi na si vinginevyo. Ushauri wangu, chunguza tatizo hasa ni nini maana hii si hali ya kawaida. Tumia asali ya nyuki wakubwa ambayo haijachakachuliwa itaweka sawa homon yako kwenye swala zima na utengenezaji wa mbegu za kiume. Au wasiliana nami PM nitakusaidia kama uzi wako inaukweli na si uongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.