Nitfanya lolote ili nifaulu mtihani

Nitfanya lolote ili nifaulu mtihani

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Denti mmoja msichana mapepe wa chuo aliingia ofisini kwa Profesa akiwa kavalia kiuchokozi chokozi.
Mazungumzo yalikuwa hivi:
Denti: Mambo Profe?
Profesa: (Hakujibu bali aliuliza) Unasemaje?
Denti: Nimekuja na "proporsal" yangu.
Profesa: Iweke juu ya meza nitaiangalia baadae.
Denti: Hapana sio hivyo, ni mipango tu baina ya mimi na wewe; si unajua tena?
Profesa: Sema, unasemaje?
Denti: Niambie unataka nifanye nini ili nifaulu mtihani wako wa kesho? We sema tu, ninaweza kufanya chochote.
Profesa: Kweli? Unaweza kufanya chochote nitachokuambia?
Denti: Ndio Profe, chochote, we sema tu mi niko tayari.
Profesa: Kama ni hivyo sawa, rudi nyumbani kasome mada zote 12 tulizosoma katika semesta mbili.

Denti mmoja msichana mapepe wa chuo aliingia ofisini kwa Profesa akiwa kavalia kiuchokozi chokozi.
Mazungumzo yalikuwa hivi:
Denti: Mambo Profe?
Profesa: (Hakujibu bali aliuliza) Unasemaje?
Denti: Nimekuja na "proporsal" yangu.
Profesa: Iweke juu ya meza nitaiangalia baadae.
Denti: Hapana sio hivyo, ni mipango tu baina ya mimi na wewe; si unajua tena?
Profesa: Sema, unasemaje?
Denti: Niambie unataka nini nifanye nini ili nifaulu mtihani wako wa kesho? We sema tu, ninaweza kufanya chochote.
Profesa: Kweli? Unaweza kufanya chochote nitachokuambia?
Denti: Ndio Profe, chochote, we sema tu mi niko tayari.
Profesa: Kama ni hivyo sawa, rudi nyumbani kasome mada zote 12 tuliyosoma katika semesta mbili.

very few can do that
 
very few can do that
Ni wachache sana. Hivi ndivyo tunatakwa tuwe, hasa tukitilia maanani kuwa "Profesa, au mwalimu" atakuwa na umri sawa na mzazi au angalau kama kaka wa wanafunzi wao. Badala ya kuzidi kuwapoteza na kuwapa imani kuwa elimu hupatikana "kirahisi rahisi", njia bora ni kuwaelekeza kwenye ukweli wa mambo.
 
its true, huyu prof ni mfano wa kuigwa, ila wengine wana uchu na hao unaosema sawa na watoto zao, maana anaweza akafelishwa makusudi kama mtego.
 
Denti mmoja msichana mapepe wa chuo aliingia ofisini kwa Profesa akiwa kavalia kiuchokozi chokozi.
Mazungumzo yalikuwa hivi:
Denti: Mambo Profe?
Profesa: (Hakujibu bali aliuliza) Unasemaje?
Denti: Nimekuja na "proporsal" yangu.
Profesa: Iweke juu ya meza nitaiangalia baadae.
Denti: Hapana sio hivyo, ni mipango tu baina ya mimi na wewe; si unajua tena?
Profesa: Sema, unasemaje?
Denti: Niambie unataka nifanye nini ili nifaulu mtihani wako wa kesho? We sema tu, ninaweza kufanya chochote.
Profesa: Kweli? Unaweza kufanya chochote nitachokuambia?
Denti: Ndio Profe, chochote, we sema tu mi niko tayari.
Profesa: Kama ni hivyo sawa, weka proposal yako mezani, kama inalipa utapasi!

Au mnasemaje?!
 
nakumbuka chuo, ikiwa karibia na exams tukimuuliza lectr area of concentration anaanza kuandika ubaoni, na sie kwa shauku tunaanza kukopi, by the time tunamaliza kukopi tunajikuta kaandika topic zake zote, na yeye keshasepa
 
For the sake joke fine, lakini kiukweli, nitege bahati mbaya nikuchane makusudi.!
 
hii ni kwa mademu wote vilasa wanaosoma kama fasheni badala ya kufanya kilichowapeleka

i like this
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom