wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,931
- 3,299
no sina amani na maelezo yako! kwa nn ulichukua hatua ya kulala kitanda k1 na mke wa m2, ulipata wapi ujasiri wa kumwambia hvyo? usitumie matatizo ya watu kukamilisha haja za mwili wako, ila ukweli ni kwamba umesha lamba mke wa m2 na sasa umeshiba unatafuta njia ya kuua soo.