Nitawezaje Kukabiliana na Majaribu Haya?

Kwani huyo mdada naye anataka ummege au wewe unadhania uukitaka kummega yeye hatakataa?
 
Nikupongeze kwa moyo mkuu wa kumsaidia rafiki yako kipenzi! Hilo linampa shida sana iblisi kwani usha score point kibao kwa Sir God....yaani saa hizi Mungu anakunywa chai ya maziwa hivi sasa kila kuangaliapo ulivyosimama imara katika hili!

Kuona hivyo Ibilisi amepatwa wivu na chuki mkubwa dhidi yako na utukufu wa Mungu, Amepania kula VICHWA yaani hapa wewe, rafikiyo na shemeji mtaangukia shimoni!

Mungu akutie nguvu......kitendo cha wewe upata shida ni dalili ya ushindi!
 
Wewe unataka kumtafunia mwenzio mkewe..unatafuta ruhusu tu humu jamvini umtende rafikiyo. Rafiki yako has been through so much already. hakuna kitu kibaya kama mwanaume afukuzwe/aachishwe kazi, kisha afukuzwe kwenye nyumba sababu ya kodi, atangetange na familia yake...halafu at*mbewe mkewe, tena na rafiki yake! You will completely break your friend to death...please no matter what, DON'T DO IT!

What a beautiful piece of advice! Thanks Bro! You have said it all!
 
mi nnachokushauri mambo mawili hapa chagua moja::
1.jaribu kutafuta dalali akutafutie angalau chumba cha alfu 30 kwa mwezi then jikaze na ujibane kahela kako kadogo mpangie jamaa yako chumba kwa miezi 6 ambayo itakuwa sh180000,ahamie hapo wakati anatafuta kazi na kufatilia mambo yake mengine utakuwa umemsaidia sana,huo ndio urafiki shida na raha ndio unganiko la marafiki na usiwaze hata kwa sekunde kumlia mke wake>

2.wewe sasa kama huna hiyo hela tafuta hifadhi popote kwa rafiki zako waambie unalala tu yan ww ni kuingia usiku unalala tu then asubuh unaondoka uwaachie room hao mke na mume kwa mda mfupi hadi hapo watakapokaa level.
 
kwa hali ya kawaida kama unalala na huyo shemeji yako bila rafiki yako kuwepo utakuwa umeshammega, sasa unakosa amani na kuja kuomba ushauri, (ZUGA)

na kama mnalala wote watatu kitanda kimoyo ni vema ukaacha, naamini unamarafiki wengine , angalia mmojawao akupe hifadhi uwe unalala tu.
 
Sasa na wewe unalalaje kitanda kimoja na wanandoa?? Waachie kitanda wewe lala sebuleni

Nilichoelewa mimi ni kuwa jamaa yuko mkoani kwa hiyo kabaki na shemeji yake(mke wa Jamaa+mtoto) na ndio huyo analala hovyo(naelewa anamtega mhifadhi)!!!Ushauri kwa jamaa ni kama hivi:
1.Panga vitu vema hapo sebuleni upate sehemu ya kulala ili shemeji yako alale peke yake chumbani,utapunguza majaribu na kuleta heshima.
2.Sidhani kama rafiki yako anajua kuwa mnalala kitanda kimoja na mkewe,akijua atajua tayari ushammega,jitahidi mlale tofauti.
3.Kama una fedha wakopeshe/wasaidie na uwashauri warudi mkoani wajipange upya,wakifanikiwa watarudi au wataendelea na life huko
4.Inaonekana mko mbali na rafiki yako kwa kuwa ungemsaidia bega kwa bega kutafuta kazi na hapo ndio napata mashaka ya thread kuwa ya kutunga,vinginevyo ulitakiwa uwe mshauri mzuri kwake namna gani atapata kazi hata ya muda pamoja na kumtoa ktk stress alizonazo badala ya kuwaangalia tu na kutaka kuwapa malazi
 
mshauri rafiki yako wauze hiyo set ya makochi pesa ampe mkewe aende nyumbani wakati yeye anaendelea kuparangana na maisha. Kukaa na mke wa mtu hata usipo lalanae, ila kukaa nae humo kwenye chumba na sebule nyie wawili tu ni hatari iepushe haraka mno.
 
Wapatie nauli waende songea nyumbani kwao wakajipange upya,mambo yakiwa sawa arudi mwanaume pekeyake dar kutafta kazi akipata apange chumba amlete wife wake waanze maisha.
Well said, Mwera mungu akubariki kwa ushauri wa busara. Fuata ushauri huu mleta mada mama aende nyumbani akapumzike kwanza wakati baba anaendelea kutafuta, wape pole sana hakuna kipindi kigumu kama unapokua huna kazi.

Nikupongeze kwa moyo mkuu wa kumsaidia rafiki yako kipenzi! Hilo linampa shida sana iblisi kwani usha score point kibao kwa Sir God....yaani saa hizi Mungu anakunywa chai ya maziwa hivi sasa kila kuangaliapo ulivyosimama imara katika hili!

Kuona hivyo Ibilisi amepatwa wivu na chuki mkubwa dhidi yako na utukufu wa Mungu, Amepania kula VICHWA yaani hapa wewe, rafikiyo na shemeji mtaangukia shimoni!

Mungu akutie nguvu......kitendo cha wewe upata shida ni dalili ya ushindi!

Unidai zawadi masikini jeuri, shetani mawivu yamemkaba balaa, mtoa mada muombe mungu usiingie majaribuni simama imara, utalipwa mara mia ya unavyowasaidia sasa, tenda wema nenda zako
 
Lakini nao wana set nzima ya makochi na tumezibebanisha pamoja hivyo hata kulala humo ni kazi ndo maana nashindwa kufanya hivyo, nilitegemea labda mtanishauri vinginevyo. Sihitaji kummega huyu dada!

Mwambie swahiba, auze hayo makochi yake, nawe utumie hilo lako mmoja kulalia!!!, Ukijikaza hivyo hivyo, utakuja barikiwa mpaka ushangae!!!!!
 
Wewe unataka kumtafunia mwenzio mkewe..unatafuta ruhusu tu humu jamvini umtende rafikiyo. Rafiki yako has been through so much already. hakuna kitu kibaya kama mwanaume afukuzwe/aachishwe kazi, kisha afukuzwe kwenye nyumba sababu ya kodi, atangetange na familia yake...halafu at*mbewe mkewe, tena na rafiki yake! You will completely break your friend to death...please no matter what, DON'T DO IT!

Umemjibu inavyostahili kama hatasikia atakayomkuta yanamhusu..
 
mh!Hii kali, kwani jamaa hauana mafrendo wengine? ila haya majaribu kwelikweli,dawa moja wape hawa wadau wako nauli warudi Songea kisha jamaa arudi ajipange upya,kama unakazi simple kabisa chukua advance salary ya kutosha wape nauli
 
Nikupongeze kwa moyo mkuu wa kumsaidia rafiki yako kipenzi! Hilo linampa shida sana iblisi kwani usha score point kibao kwa Sir God....yaani saa hizi Mungu anakunywa chai ya maziwa hivi sasa kila kuangaliapo ulivyosimama imara katika hili!

Kuona hivyo Ibilisi amepatwa wivu na chuki mkubwa dhidi yako na utukufu wa Mungu, Amepania kula VICHWA yaani hapa wewe, rafikiyo na shemeji mtaangukia shimoni!

Mungu akutie nguvu......kitendo cha wewe upata shida ni dalili ya ushindi!

Niko nje ya topic ila nitapata amani nikisema hili!
Kumuita Mungu "Sir" ni kama kumtukana au kumkosea adabu hivi!

Jina la Mungu ni kuu kuliko majina yote,Sir ni heshima ya juu anayopewa binadamu na ndiyo unayo mpa Mungu pia hapa,...
Hii ni sawa na kumlinganisha na Sir Ferguson,Newton,.nk,...

Yawezekana ulitaka kumpa Mungu heshima kubwa,ila sir sio level ya Mungu
 
is this real??

sasa wakiwa wanamegana inakuwaje au ndo wanamegana ukiwa haupo?:noidea:
 
Wewe unataka kumtafunia mwenzio mkewe..unatafuta ruhusu tu humu jamvini umtende rafikiyo. Rafiki yako has been through so much already. hakuna kitu kibaya kama mwanaume afukuzwe/aachishwe kazi, kisha afukuzwe kwenye nyumba sababu ya kodi, atangetange na familia yake...halafu at*mbewe mkewe, tena na rafiki yake! You will completely break your friend to death...please no matter what, DON'T DO IT!

YouTube - Phil Collins - Another Day In Paradise
 
liz umeongea jambo la ukwel,kama anania nzr alale kwenye kochi,inaonesha anataka atumie iko kigezo kumlia mwenzie mkewe.
 
Kama inawezekana mtafutie nauli huyo mwanamke aende kwao/ukweni, mume wake akijiweka sawa atarudi, lkn vyombo vyao endelea kuwatunzia.
Lakini nao wana set nzima ya makochi na tumezibebanisha pamoja hivyo hata kulala humo ni kazi ndo maana nashindwa kufanya hivyo, nilitegemea labda mtanishauri vinginevyo. Sihitaji kummega huyu dada!
 
Kama unataka kuendelea kulala kitanda kimoja mkubaliane muwe kama wadosi.Jamaa akitaka kugonga anagonga mchana halafu nyie mida hiyo mnasepa kitaa.
 
Back
Top Bottom