Mke anahudumiwa kila kitu halafu aanza kufanya biashara kimya kimya bila mume kujua

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habari wakuu nimekuja kwenu taka ushauri mama watoto wangu mke namuhudumia kwa kila kitu atakacho cha ajabu amekua akifanya biashara kisirisiri ya kupika mandazi afkeki na kupeleka kwa wenye maduka wamuuzie
 
Why kisiri siri? Kuna sehemu utakuwa ushakosea mzee.

Wanawake ni kama maji, wewe ndio wa kuyapa shape, ukiweka kwenye cube itakuwa hivyo, ukiweka kwenye chupa ya duara, ukiweka kwennye beseni itakuwa hivyo, kisha uyagandishe kwenye friza yatakuwa hivyo.

Ukiona friza lako haliwezi mgandisha kimbia
 
Mwelewe. Huyo mwanamke anaona mbali anaakili ya maisha. Tatizo kafungwa, yupo jera huduma za kupewa
 
Habari wakuu nimekuja kwenu taka ushauri mama watoto wangu mke namuhudumia kwa kila kitu atakacho cha ajabu amekua akifanya biashara kisirisiri ya kupika mandazi afkeki na kupeleka kwa wenye maduka wamuuzie
Hio KILA KITU ijazie nyama,,,,unaposema "kila kitu" ni relative term...

Kama umefahamu si umuite umuulize then akupe majibu....huenda anataka aje aku suprise baadae biashara ikisimama,,,who knows..??? may be ulimkataza kujishughulisha so kaona apige kimyakimya,,,,au kaona huna pulling ya kutatua changamoto za kwao so kaona ajiongeze asaidie ndugu zake....

Wewe ndio Mkuu wa kaya,hivyo acha kulia lia,,,hili lipo ndani ya uwezo wako kabisa....

Be a Man,,,Stay Taliban..
 
Si umuulize kwa nini sasa sisi tutajua kwa nini kafanya hivyo
Halafu haya sio maisha ya kuishi na mwanamke golikipa
 
Hawezi kufanya kimya kimya kama unamuhudimia kila kitu!!!!???????
Huyo mume ni mbinafsi anajikweza hapendi maendeleo ya watu wake anajiona kila kitu.
Ni vizuri aanze kumchangia katika biashara yake na amsaidie kupata wateja zaidi.
Amshirikishe kwenye kipato wayajenge mume ni msiri na hajali ya mke .
Amruhusu tu kwa faida ya wote na aendelee kutoa huduma zaidi na amshirikishe..
 
Habari wakuu nimekuja kwenu taka ushauri mama watoto wangu mke namuhudumia kwa kila kitu atakacho cha ajabu amekua akifanya biashara kisirisiri ya kupika mandazi afkeki na kupeleka kwa wenye maduka wamuuzie
Kwaiyo we unategemea sku ukitangulia mbele za haki (kama halikuwa afany kazi yeyote) basi jua kuwa atadanga tuu ........la sivyo muwekee akiba ya milion 200 afu kisha mwambie asifanye kazi yoyote.
 
Nimeangalia profile yako nikagundua huna uwezo hata wa kujihufumia ww mwenyewe kwa kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom